Vijana 56 wakacha mradi BBT

Mnapoteza muda hizi zimekaa kisiasa sana. Kama hawa walioenda wamerudishwa nyumbani hili waende JKT kwanza, siasa ni mchezo mchafu sana uliojaa hopes za uongo.

Na watakacha wengi zaidi.
 
Mkuu wamepelekwa JKT kufanyaje tena?
Mna poteza mda hizi zime kaa kisiasa sana .kama hawa walio enda wame rudishwa nyumbani hili waende JKt kwanza .siasa ni mchezo mchafua sana uliojaa hopes za uongo

Na wata kacha wengi zaidi
 
Hayo mambo tulishayaongea humu ndani, huwezi somba uvccm kutoka mijini uwapeleke vijijini wakalime na bado kuna mengi mabovu yanakuja kwenye huo mradi.
 
Mnapoteza muda hizi zimekaa kisiasa sana. Kama hawa walioenda wamerudishwa nyumbani hili waende JKT kwanza, siasa ni mchezo mchafu sana uliojaa hopes za uongo.

Na watakacha wengi zaidi.
Inasikitisha sana
 
Unawachukua Uvccm waliofunzwa kuiba Leo uwapeleke shambani unategemea nini? Wazir Bashe hajitambui
 
Waliokimbia nina uhakika ni wapinzani waliojichomeka kwenye mradi ili kuonyesha serikali haijafanikiwa. Tutapuuze
 
Mnapoteza muda hizi zimekaa kisiasa sana. Kama hawa walioenda wamerudishwa nyumbani hili waende JKT kwanza, siasa ni mchezo mchafu sana uliojaa hopes za uongo.

Na watakacha wengi zaidi.
bashe kwenye ubora wake
 
H
Hakuna mtoto wa kigogo wa kuingia kwenye huo upuuzi labda watoto wa machawa na michepuko yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…