ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,557
Balaa tupuHali ni mbaya mtu anafanya interview ya kaz inagombewa na watu kma 10000 bado wazaz,ndugu,jamaa na marafiki wote wanasali apate hiyo kazi zidisha watu 10000 apo karibia mkoa mzima wanalilia hiyo kazi.
Chini ya mboga party utakuta kila aliyepitia ikulu anahakikisha immediate family members wake wanapata kazi za serikali Kama sio ubunge.Nasikitika kwamba kwa serikali hii chini ya mboga mboga party ni ngumu kufanyika hayo sababu watu wapo kwa ajili yao binafsi
Hilo ndio la kwanza yani “kuitana kwenye sinia la pilau”Chini ya mboga party utakuta kila aliyepitia ikulu anahakikisha immediate family members wake wanapata kazi za serikali Kama sio ubunge.
Ukiondoa mzee Mkapa na baba wa Taifa.
Kazi inagombewa na mkoa mzimaHali ni mbaya mtu anafanya interview ya kaz inagombewa na watu kma 10000 bado wazaz,ndugu,jamaa na marafiki wote wanasali apate hiyo kazi zidisha watu 10000 apo karibia mkoa mzima wanalilia hiyo kazi.
Hapo red, wala hilo sio Tatizo Kuipata mkuu. Ukiwa na docs zote within 2 weeks wanapata labda wapunguze bei kidogo. Ila Tatizo pesa/nauli looh, Tangu niipate yangu kribia inaExpire Sijawahi kuitumia hata hapo Namanga. Nadhani Wangeweka mfumo wa kukopesha pesa(Nauli snd other expenses) kwa ambao wanataka kwenda nje wakiwa na sifa halafu wawe wanakata hela yao taratibu.Pili, serikaliiwawekee milango wazi na kuondoa ugumu wa kupata hati za kusafiriakwa maana ya bei ya pasi na ulazima wa mtu kuulizwa anaenda nje kufanya nini,wananchi wote wapewe hati za kusafiria na serikali ihimize watu watoke kwenda nchi tofauti duniani kutafuta maisha
Hayo yote kamuambia Baba ako. Sio kuliambia lizimwi ambalo lipo kila sehemu"Serikali".Nina imani hao niwachache tu waliojitokeza kwani bado huku mitaani tumebaki wengi ambao hatuku apply nafasi hizo za TRA,hii ni hatari!ajira sasa ni kama bomu la nyuklia
Hapa cha kushauri
Kwanza,serikali kupitia wizara za kazi,fedha na ofisi ya waziri mkuu kuangalia namna ya kutengeneza ajira kwa vijana kwani kila mwaka idadi mitaani inaongezeka
Zifanyike juhudi za maksudi kutumia mabonde na mashamba makubwa ya chai,tumbaku,mpunga,mahindi,mboga mboga,uvuvi,miti na hata ufugaji kuwaingiza ajira vijana humo kwa serikali kuwasapoti kwa kununua matrekta mengi kujenga kambi kwa maana ya nyumba nyingi jirani na mashamba hayo mikoani,kuwawekea huduma zote muhimu za hospital,shule,mabenki nk,vijana wazalishe mazao yachakatwe serikali ifanye export.
Pili, serikali iwawekee milango wazi na kuondoa ugumu wa kupata hati za kusafiria kwa maana ya bei ya pasi na ulazima wa mtu kuulizwa anaenda nje kufanya nini,wananchi wote wapewe hati za kusafiria na serikali ihimize watu watoke kwenda nchi tofauti duniani kutafuta maisha huko,viwandani,mashambani,mahotelin,madereva,mafundi,migodini,wauguzi,na wengine kutangaza utamaduni,lugha ya kiswahilii nk..kama walivyozagaa mataifa ya wenzetu duniani hususan wakenya,Nigerians nk
Yakifanyika haya kwa kiasi kikubwa tatizo la ajira litapungua
Nawasilisha.
Wajanja sana wanakusanya kwenye dk 36 ivi inahitaji timing sanaHata waliobahatika kufanya mtihani wanalalamika awakutendewa haki.
Waliingizwa chumba cha mtihani kwa usimamizi wa police wakaponywa saa wote mtihani ni dakika 40 maswali magumu baada ya dakika 10 wakaambiwa zimebaki daki 10 wakaanza kuguna na kulalamika, wakapigwa biti atakaelalamika atafutiwa mtihani. So azikutimia dakika 40 wakaambiwa simama juu watu wametoka walilalamika wamechoma bure nauli zao toka mikoani.
Chini ya mboga party utakuta kila aliyepitia ikulu anahakikisha immediate family members wake wanapata kazi za serikali Kama sio ubunge.
Ukiondoa mzee Mkapa na baba wa Taifa.