Vijana 8 kizimbani kwa tuhuma za kumbaka mwanamke mmoja kwa kushirikiana

Vijana 8 kizimbani kwa tuhuma za kumbaka mwanamke mmoja kwa kushirikiana

Yaende tu jela yakikaa mtaani yataharibu watoto wa watu
 
Washamba hao wasela mavi ngoja wakanyee debe akili zikae sawa.
Exactly ni wasela kinyesi,[emoji24][emoji24][emoji24]they can't think properly [emoji24] ukiona watu Zaidi ya watatu wanafanya ujinga unaofanana ( uniformly) tambua kuwa ni banch of mental retarded people who are [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Wameingia miaka 18 kwa kishindo..
Watatamani watoe hata siku moja iwe 17.9 kwamba walikuwa watoto kuna tofauti kubwa ya adhabu
 
Mpo 8 mnakopa wanawake 3 mnapiga orgy.

Wapo telegram. Wapo online.

Ya nini kuruka na mtu hataki?
 
Mwendesha mashtaka wa Serikali Salumu Issa, akiwa mahakamani hapo amewataja watuhumiwa hao kuwa ni Elia Jonas (18), Yajobo Ngoda (20), Abdul Alfa (20), Amos Chales (20), Chales Kiweresa (31), Konja Frank (19), Amos Msalia (18) na Mkombozi William (20).
1693291779305.png

Huyu mbona anaonekana kabisa siyo kijana
 

Watu nane wakazi wa eneo la Porikwapori wilayani Kiteto mkoani Manyara, wamefikishwa katika Mahakama ya wilaya hiyo kwa tuhuma za kumbaka mwanamke mmoja kwa kushirikiana.

Watuhumiwa hao kwa pamoja wamesomewa shtaka hilo leo Jumatatu Agosti 28, 2023 wakiwa mahakama ya Wilaya ya Kiteto chini ya Hakimu wa mahakama hiyo, Mosi Sasy.

Mwendesha mashtaka wa Serikali Salumu Issa, akiwa mahakamani hapo amewataja watuhumiwa hao kuwa ni Elia Jonas (18), Yajobo Ngoda (20), Abdul Alfa (20), Amos Chales (20), Chales Kiweresa (31), Konja Frank (19), Amos Msalia (18) na Mkombozi William (20).

Watuhumiwa hao walisomewa shitaka kuwa huko Porikwapori wakiwa kwenye sherehe nyakati za usiku walitenda kosa kinyume na Kifungu 131 A (1), (2) cha sheria ya kanuni ya adhabu sura 16 kama ilivyofanyiwa mapitio mwaka 2022.

Hakimu sasi aliwauliza watuhumiwa hao hapo mahakamani kama walitenda kosa hilo ambapo walikana shtaka lao hilo, huku mwendesha mashitaka wa Serikali Salumu Issa akimweleza Hakimu Sasy kuwa upelelezi umekamilika.

Kesi hiyo imeahirishwa hadi Septemba 12, 2023 na kuelezwa kuwa dhamana kwa washitakiwa iko wazi na kutakiwa wafuate masharti yaliyowekwa na mahakama hiyo.

Mwananchi


Hivi kwa kosa hili ukipewa zamana unakuja kusikiliza kesi na kufungwa?
 
Hivi bado kuna vijana wanakula mande karne hii ya 21 huku kukiwa na mademu mpaka wa buku

Sent using Jamii Forums mobile app
Wimbo mmoja wa Sengeli unaitwa 'Safari ya Beach' kuna kipande mwimbaji anasema 'yule dada kavaa dela katoa kiwiliwili nje ya Gari alafu kiuno kawaachia Masela' hio 'kiuno kawaachia 'Masela' anarudia km mara 4 hivi

Sasa km ulikua huwajua 'Masela' ni akina nani hao ndio 'Masela' hawana karne
 
Vijana sifa za kijinga siku zote zinawaponza...inawezekana binti alikuwa cha mmoja wao wakasema tukamkomeshe... wacha wakakinyee kidebe!
 
HUWEZI Kuta WAZUNGU wanafanya Upuuzi kama huo.

Africa ni LAANA.

Mtungo wanaume nane kwa mwanamke mmoja WANATAFUTA NINI HASWA!!??????
 
Back
Top Bottom