Nimekuelewa mkuu we si unataka mfumo wa VETA upagawe mpaka uache kurun kwa wingi wa watuSoma vizuri utaelewa kile nimemaanisha Mkuu
Dadavua umuhimu wa kufanya ivo nini kitatokea cha maanaVijana tunapiga kelele mishipa inatusimama kuhusu kauli ya Waziri Mkuu kwa waliomaliza degree kwenda VETA. Ni dharau ndio, Anko Maja amezingua? Ndio, pakubwa sana. Sasa tunaingia kwenye propaganda na kurushiana maneno ambayo kimsingi hakuna kitu kitabadilika.
Ndio kwanza wanaendelea kujitoa akili na kufanya promotion ya VETA vizuri. Kutaka kuwawajibisha viongozi sio lazima twende barabarani, kupita mtandaoni na kuacha kauli mbovu. Tunaweza kufanya mgomo kidigitali. Tunaenda nao kizama hizi hizi.
Kila graduate wa degree, masters, etc una kazi au huna angalia kozi yoyote veta apply, hata 10 we omba, pita VETA za kila kituo unachoweza omba, fanya maombi. Tutasikia milio huko huko walipo. Kama hawakusikiliza watasikiliza.
Tudeal nao kisasa, wanatuaona wehu, tuwaoneshe vile tulivyo wendawazimu, kidigitaliGen Z embu ongozeni hili jambo, tutumie hivyo vifaa vyetu kwa manufaa for once. Tukaitetemeshe VETA mpaka ibubujikwe na machozi hamtafundishwa kila kitu🌚
View attachment 3275490
Wenye digrii tukiwa tumetoka kutangaziwa na Bloo Maja kuwa VETA haina kapasity inabidi turudi sekondari
Yule bwana alikuwa amebugia maharage na sielewi ya wapi kiongozi awezi kutusi vyuo vikuu namna hiyoUmeandika kama vile degree holders wote wamegraduate 2000!!. Veta isiwe kisingizio cha wajinga wachache kuamua kufanya ukatli dhidi ya vijana!!. Kulikuwa na maana gani ya kusoma degree kama bado utarudi kufanya course za drs 7.
Yeye leo anaweza kurudi kufundisha?.upumbavu tu.
Yaani kutoka degree hadi certificate ya veta, hapo unaenda mbele au unarudi nyumaVijana tunapiga kelele mishipa inatusimama kuhusu kauli ya Waziri Mkuu kwa waliomaliza degree kwenda VETA. Ni dharau ndio, Anko Maja amezingua? Ndio, pakubwa sana. Sasa tunaingia kwenye propaganda na kurushiana maneno ambayo kimsingi hakuna kitu kitabadilika.
Ndio kwanza wanaendelea kujitoa akili na kufanya promotion ya VETA vizuri. Kutaka kuwawajibisha viongozi sio lazima twende barabarani, kupita mtandaoni na kuacha kauli mbovu. Tunaweza kufanya mgomo kidigitali. Tunaenda nao kizama hizi hizi.
Kila graduate wa degree, masters, etc una kazi au huna angalia kozi yoyote veta apply, hata 10 we omba, pita VETA za kila kituo unachoweza omba, fanya maombi. Tutasikia milio huko huko walipo. Kama hawakusikiliza watasikiliza.
Tudeal nao kisasa, wanatuaona wehu, tuwaoneshe vile tulivyo wendawazimu, kidigitaliGen Z embu ongozeni hili jambo, tutumie hivyo vifaa vyetu kwa manufaa for once. Tukaitetemeshe VETA mpaka ibubujikwe na machozi hamtafundishwa kila kitu🌚
View attachment 3275490
Wenye digrii tukiwa tumetoka kutangaziwa na Bloo Maja kuwa VETA haina kapasity inabidi turudi sekondari
Kujifunza keki akiwa na 25 yrs ni too late??Bachelor of Sociology and electronics Refurbishing
Au
Bachelor of education and Electrical Restoration
Waziri ana point ila hiyo mitaala ingepelekwa kwenye vyuo vikubwa vyote
Imagine Bachelor of Human resource and Baking asipokuwa HR anatengeneza Keki badala ya kujifunza keki akiwa na 25 yrs too late
Ndio ni late sana kila mtoto kuna kitu anapenda usisahau ku exploreiKujifunza keki akiwa na 25 yrs ni too late??
25 yrs bado ni kijana mdogo, na ndio huo muda waliomaliza vyuo huanza kujitafuta nje ya walichosomea na wengi wao wanatoboa fresh tu..Ndio ni late sana kila mtoto kuna kitu anapenda usisahau ku explorei