Vijana acheni kujidanganya linapokuja swala la ndoa au mahusiano wanawake wana mipango mingi ya siri jinsi ya kuwangamiza

Bata batani

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
3,257
Reaction score
3,905
Mwanamke akishajua kupitia mwanaume aliyenae miaka ya mbeleni Kuna maisha huwa wana mipango mingi ya siri mioyoni mwao mpka siku atakajipata .....

Ukweli ni kwamba mwanamke akiwa hajajipata huwa ni kiumbe mpole, mnyenyekevu na mtiifu kwa mwanaume lakini siku ambayo akijipata ni lazima abadilike tabia

Usione mwanamke anakumbeleza mfunge ndoa ukadhani a akupenda ukweli ni kwamba wanawake wana mipango mingi sana kabla ya kuingia ndani ya ndoa na wakishangia huanza utekelezaji wa mipango yao ya siri ikiwemo kukuondoa duniani,
Kumiliki Mali,kuvuruga familia yenu, kujenga kwao, kunyanyua ndugu zake, kutimiza Malengo yake na ukoo
 
Uko sahihi 80%
 
Mwanamke akishagonga 40 hawezi kufikiria upuuzi wa kuua mume

Wanawake wanaogopa upweke upweke ni km upo kaburin

Ukimuona bibj over 40 ana toxic.behavior jua upweke umemsonga
 
Back
Top Bottom