nyboma
JF-Expert Member
- Aug 29, 2021
- 2,308
- 7,366
Kwa ufupi unakuta kijana kasoma chuo, kakaaa mtaani zaidi ya miaka tano (5) hana ajira, kijana huyuhuyu unamkuta kwa mangi ama kwenye baa za kawaida anafakamia kongagi ama K- vant kupunguza stress.
Sasa ngoja niwape siri ukitaka kufanikiwa mara moja moja tembeleeni hotel kubwa kubwa mfano ( sea cliff ama capetown) kule ukifika nunua bia yako hata moja (Heinekein ama Windhoek) zugazuga baadae jichanganye na wazee wanaofika maeneo hayo.
Trust me! Ukihudhuria maeneo hayo kwa wiki na ikatokea hujapata connection ya maana basi jua una mkosi mkubwa sana.
Nimemsaidia kijana miaka kadhaa ya nyuma na anahudumu katika serikali ya Mama Samia.
Sababu ya kuleta kisa hiki ni kwamba leo kanitumia milioni tano Cash kama shukrani.