Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
wewe huwezi juaUnategemea kupata connections kwa walevi?
nakwambia tena uliza watu wenye akili zao watakwambia kuhusu hili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe huwezi juaUnategemea kupata connections kwa walevi?
Wapi hapa mkuu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakusogezea Menu, ushindwe mwenyeweView attachment 2076117View attachment 2076118
Yes.. walevi tunaupendo kuliko walokole sometimesUnategemea kupata connections kwa walevi?
We nenda oysterbay pale shopers pembeni yake kuna mgahawa unaitwa kahawa.Pale utapata kahawa aina zote duniani na bites za kila namna.Watu utakaowakuta pale kila mtu kapaki Audi new shape Ford ranger Bmw na nyingine kali kali so utapata connection.Tusiokunywa pombe unatushauri tukiingia humo tutumie vinywaji gani mkuu?
Maana mwaka fulani nilifukuzwa na jamaa zangu eti nawaletea nyuki kisa wao wanakunywa beer mimi nina grand malt kwenye meza yao,ila fresh tu but wanywa pombe Mungu anawaona.
Mtizamo wako ni wa kishamba sana we jamaa, sasa mtu hana ajira hela ya kwenda Serena hotel anaipata wapi?!Kwa ufupi unakuta kijana kasoma chuo, kakaaa mtaani zaidi ya miaka tano (5) hana ajira, kijana huyuhuyu unamkuta kwa mangi ama kwenye baa za kawaida anafakamia kongagi ama K- vant kupunguza stress.
Sasa ngoja niwape siri ukitaka kufanikiwa mara moja moja tembeleeni hotel kubwa kubwa mfano ( sea cliff ama capetown) kule ukifika nunua bia yako hata moja (Heinekein ama Windhoek) zugazuga baadae jichanganye na wazee wanaofika maeneo hayo.
Trust me! Ukihudhuria maeneo hayo kwa wiki na ikatokea hujapata connection ya maana basi jua una mkosi mkubwa sana.
Nimemsaidia kijana miaka kadhaa ya nyuma na anahudumu katika serikali ya Mama Samia.
Sababu ya kuleta kisa hiki ni kwamba leo kanitumia milioni tano Cash kama shukrani.
Hiyo ni menu ya Capetown Fish Market🐟Wapi hapa mkuu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitaweka venue zangu baadae ambapo huko ukihubdhuria utakutana na watu ambao simu moja tu inaweza badilisha maisha yako. Ila jitahidi uwe msomi na smart in appearance usije na mlegezo wakoWe nenda oysterbay pale shopers pembeni yake kuna mgahawa unaitwa kahawa.Pale utapata kahawa aina zote duniani na bites za kila namna.Watu utakaowakuta pale kila mtu kapaki Audi new shape Ford ranger Bmw na nyingine kali kali so utapata connection.
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Nakusogezea Menu, ushindwe mwenyeweView attachment 2076117View attachment 2076118
[emoji2][emoji2] ndugu yangu!Soda elfu4 si bora ninyongwe
Nimelisema hapo uwe smart wa akili na mavazi hata kama hujaja na gari utaondoka utapata lift ya Range rover hadi kwenu, business card na laki ya matumizi ila utasikia neno please find me before monday…Alafu usafi pia ni Muhimu.
[emoji2][emoji2]Nimelisema hapo uwe smart wa akili na mavazi hata kama hujaja na gari utaondoka utapata lift ya Range rover hadi kwenu, business card na laki ya matumizi ila utasikia neno please find me before monday…
Hapo jua umeula.
Nenda huko ukiwa huna stress, ujiandae kupata mchongo, kama kweli ndiko inakopatikana.Ndoto za alinacha...mm ukinikuta sehemu nmetulia napunguza stress alaf ukaja kujichanganya nakutoa na makofi ya shingo.