Vijana acheni kunywa bia kwenye vibanda umiza, connection zote za maisha zinapatikana katika mahotel makubwa hapa mjini

Mkuu mi naanza na wewe kabla ya huko fiah market,
Naomba connection ya ajira!
 
Wapo wachache wenye hulka za namna hiyo lakini haiwezi kuwa suluhisho kwa vijana wengi ambao hawana ajira........inaweza kufikia hoteli ya nyota tano ikawa kama kijiwe cha kahawa.
 
Mtizamo wako ni wa kishamba sana we jamaa, sasa mtu hana ajira hela ya kwenda Serena hotel anaipata wapi?!
Nadhani wewe ndiye mwenye ushamba. Katoa ushauri tu. Suala la kutokuwa na hela siyo tatizo lake. Unategemea watu wenye connection waje wakutafute nyumbani kwenu.
 
Nadhani wewe ndiye mwenye ushamba. Katoa ushauri tu. Suala la kutokuwa na hela siyo tatizo lake. Unategemea watu wenye connection waje wakutafute nyumbani kwenu.
Kwani connection zinapatikana mahotelini tu?! We jamaa nimekudharau sana. Haya nenda wakakushike shike kuna wazee huko kwenye hayo mahoteli ndo kazi zao hizo wanataka vijana wapenda miteremko km nyie
 
Trust me! Ukihudhuria maeneo hayo kwa wiki na ikatokea hujapata connection ya maana basi jua una mkosi mkubwa sana.
Kuna uwezekano ukaenda na Ukakutana na wazugaji wenzako, na ukapigwa za uso; kuna means nyingi tu za connection; Sidhani kama watu wote waliotoboa maisha walienda maeneo hayo.
 
Hapa kwenyewe ninafanyia kazi sehemu niliyopata connection jana kwenye ulevi huko huko Capetown
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…