Vijana acheni kunywa bia kwenye vibanda umiza, connection zote za maisha zinapatikana katika mahotel makubwa hapa mjini

Vijana acheni kunywa bia kwenye vibanda umiza, connection zote za maisha zinapatikana katika mahotel makubwa hapa mjini

Mzee anadhani bado tupo enzi za akina Warioba/Msekwa, maisha yamebadilika sana! And bahati mbaya siku hizi kutoa kiboga siyo lazima uwe umelegea legea, unaweza ukajiaminisha unasura ngumu lakini bado watu "wakarara mbere" na wewe
hayo mambo hutegemea ntu na ntu boss,mi nadhani ukienda ukakaa sehemu then usiwe na shobo na mtu kuna namna tu bond inajitengeneza yenyewe ya heshima kabisa
 
Labda nyakati zenu, siku hizi hizo sehemu zimejaa mafirauni sana, ukienda kibwege bwege midingi itaanza kukukonyeza, kukuletea drinks na kukuachia namba za simu wakidhani unauza kiboga
Aisee sipati picha kijana mwenyewe kakaa anakunywa soda yake halafu anapigwa kijicho🐒

tom-and-jerry-wink.gif
 
Sawa mkuu ila tunaomba na hela za kwenda kulia nyamachoma kwenye festival!

Mkiambiwa kila kitu kinataka mtaji muelewe[emoji28] huwa mtaji sio kwenye biashara tu sikuhizi ni mpaka mahusiano hadi connection za kazi!
Point ya mtoa post inaendana na ule msemo wa kiswahili kwamba mkaa bure si sawa na mtembea bure, lengo la mtoa post ni kwenda kukutana na watu sio lazma maeneo ya starehe tu hata kwenye nyumba za ibada sio watu kukaa ndani kujifungia kutwa kucha ndio maana akasema connections hazitafutwi nyumbani.

Kuna watu wanaenda kuabudu kwenye nyumba flan za ibada kwa sababu kuna vibopa wengi wanaenda huko pengine wanaweza kujenga mazoea na kuongea zaidi na mtu kupenyeza lengo lake, wengine wamepeana connections kwenye kusali jumuiya so sio lazma kwenye nyama choma festival au samaki samaki.

Wengine makongamano ya vijana tu yamefanya kujuana na watu wengi wenye taaluma mbalimbali na kupeana michongo sio mambo yote yanataka mitaji vingine brain yako tu ndio mtaji.
 
Inawezekana ikawa kweli, ila ni wangapi wamefanikiwa kwa njia hii kati ya wengi. Inawezekana njia hii imemsaidia mtu fulani ila ni bahati tu imetokea kwake ikajadiliwa kazi au mchongo.

Maana Sasa kwenye festival utajuaje huyu Ni manager, director au Ceo mahali Fulani ? au Wanakuaga na label ?
Kwahiyo wewe Ni kuzunguka festival nzima kuomba na kuongelea shida ya kazi , kwelii ? [emoji1787][emoji1787]

Yaani mtu azunguke Kwenye mashughuli ya starehe yote ya mjini ili abahatishe kukutana na managers, Ceo , directors hata uhakika kwamba watakuwepo haupo na Wala hawajui.
Labda uniambie zile events za proffessionals nitakuelewa.

Mambo mengine Ni bahati tu, unaweza kukutana na muujiza wako wa kazi hata barabarani. Sio basi mtu akifanikiwa kwa njia hii na wewe unaanza kuzunguka barabarani eti barabarani Kuna connections [emoji3][emoji3]

Duniani lilia bahati mambo Mazuri yatakufuata haijalishi eneo, usisahau pia kufanya bidii Yenye akili. Ukiwa tayari umejipanga kupokea muujiza utapokujia.
Mzee connections haziko kwenye nyama choma festival tu au serena hotel hata makanisani, jumuiya, misikitini n.k
 
Point ya mtoa post inaendana na ule msemo wa kiswahili kwamba mkaa bure si sawa na mtembea bure, lengo la mtoa post ni kwenda kukutana na watu sio lazma maeneo ya starehe tu hata kwenye nyumba za ibada sio watu kukaa ndani kujifungia kutwa kucha ndio maana akasema connections hazitafutwi nyumbani.

Kuna watu wanaenda kuabudu kwenye nyumba flan za ibada kwa sababu kuna vibopa wengi wanaenda huko pengine wanaweza kujenga mazoea na kuongea zaidi na mtu kupenyeza lengo lake, wengine wamepeana connections kwenye kusali jumuiya so sio lazma kwenye nyama choma festival au samaki samaki.

Wengine makongamano ya vijana tu yamefanya kujuana na watu wengi wenye taaluma mbalimbali na kupeana michongo sio mambo yote yanataka mitaji vingine brain yako tu ndio mtaji.
Sawa sawa mkuu wacha nikasali cardinal rugambwa
 
Hakuna mchongo woowte kweny vibanda umiza Bora ubaki nyumban tu kuzikiliza huo mpira redion kulikoni kwenda kuzoeana na watu ambao wanagoma tu Kulipia Mia tano ya kuangalia mechi ....

Ikipat nafs toka kidg tafuta vijiwe vingine at bar kubwa kubwa ....siyo lazm uende hotel mashuhuri snaa utafilisika na utakuja kukonyezwaa

Niwape experience kidg nikiwa naishi singida nilikuwa naenda sna pale rwezaura kucheki mechi na smtm kula pale ..nawaona watu mashuhuri San nao pia hufika pale
Ila baadae Nina Kaka angu alikuwa akija nitembeleaa ananipigia simu tukutane regency hotell aise muda wote nakutana na watu mashuhuri snaa nilishakutana na Dr mwigulu live live .na kina Lazaro nyalandu mkbwa fln HV wa USAID nikaona hapa ndioko michongo inaanziaa
 
Kwa ufupi unakuta kijana kasoma chuo, kakaaa mtaani zaidi ya miaka tano (5) hana ajira, kijana huyuhuyu unamkuta kwa mangi ama kwenye baa za kawaida anafakamia kongagi ama K- vant kupunguza stress.

Sasa ngoja niwape siri ukitaka kufanikiwa mara moja moja tembeleeni hotel kubwa kubwa mfano ( sea cliff ama capetown) kule ukifika nunua bia yako hata moja (Heinekein ama Windhoek) zugazuga baadae jichanganye na wazee wanaofika maeneo hayo.

Trust me! Ukihudhuria maeneo hayo kwa wiki na ikatokea hujapata connection ya maana basi jua una mkosi mkubwa sana.

Nimemsaidia kijana miaka kadhaa ya nyuma na anahudumu katika serikali ya Mama Samia.

Sababu ya kuleta kisa hiki ni kwamba leo kanitumia milioni tano Cash kama shukrani.

nilichelewa kucomment!.
hizo sehemu unazozitaja ndio tunakutakana wote choka mbaya na uwezi kukutana na madoni.
madoni wa sehemu zao hata uwezi kuzani wanaweza kuwepo hapo.
1-sehemu ambazo hakuwa watu wengi
2-grossary ambazo mtu wa kawaida kumkuta ni ngumu na hiyo grossary uwezi kaa kunywa.
3-vijiwe vya kahawa visivokuwa na story za mipira wa siasa.
4-mara nyingi wana club house zao ujitenga na sisi kama jimkhana
 
hayo mambo hutegemea ntu na ntu boss,mi nadhani ukienda ukakaa sehemu then usiwe na shobo na mtu kuna namna tu bond inajitengeneza yenyewe ya heshima kabisa
Kama huna hela huwezi kukosa shobo Chief, kuna kaconfidence flani kanakuwa hakapo
 
Ha
Kwa kweli maisha sio rahisi kiasi hicho..Kuna Dada mmoja haya Mambo ya kusafiri alisafiri mpaka Chato kumzika jiwe,,kumbe behind the scenes Hilo halikuwa lengo
Hahaha akijua kwamba vigogo wa nchi nzima wako kule hawezi kukosa wa kudandia
 
Sawa sawa mkuu wacha nikasali cardinal rugambwa
Pale niliingia mwaka flani niko form 5 kuna event ilikuwepo ya mwisho wa mwaka. Mle ndani mimi ndio nilikuwa mwembamba kuliko wote haijalishi umri wao, hata madogo walikuwa na vitambi. Nililipiwa laki ikiwa ndio kiingilio cha chini ila ikawa ndio party yangu ya gharama kubwa kuingia mpaka leo. Humo nikakutana na watu wakubwa kina Jokate, mabalozi na watu wengine ila nilikuwa hadhi ya chini. Ndio mwanzo wa kuwapenda Malaika Band wale waimbaji wanajua.

Nilikuwa mshamba kwa kuwa sikulipa tiketi mimi hivyo sikujua nastahili kupewa nini. Wakaleta bites kibao nikachukua nyingi nikijua ndio imeisha. Nikashangaa wengine wanaweka tudude tuwili tu basi, nikajisemea hawa wa kishua si huwa wanagusa kidogo afu kwanza wamekula kwao. Kushtuka wakaleta biriani na misosi mikali aisee nilijilaumu.

Tangu hapo huwa najilipua kwenda sehemu zinazoeleweka mara chache. Pale Serena nimeenda November, niliitwa nikafanye issue ila kwa masaa manne nilokaa pale sikumbuki kama mazingira yanaruhusu kumshobokea mtu. Niliambulia kunywa maji chupa ndogo ya 7000, kwanza vipimo vya joto pale langoni vilionesha mimi tu ndio nina joto kali ingawa niliruhusiwa.
 
Point ya mtoa post inaendana na ule msemo wa kiswahili kwamba mkaa bure si sawa na mtembea bure, lengo la mtoa post ni kwenda kukutana na watu sio lazma maeneo ya starehe tu hata kwenye nyumba za ibada sio watu kukaa ndani kujifungia kutwa kucha ndio maana akasema connections hazitafutwi nyumbani.

Kuna watu wanaenda kuabudu kwenye nyumba flan za ibada kwa sababu kuna vibopa wengi wanaenda huko pengine wanaweza kujenga mazoea na kuongea zaidi na mtu kupenyeza lengo lake, wengine wamepeana connections kwenye kusali jumuiya so sio lazma kwenye nyama choma festival au samaki samaki.

Wengine makongamano ya vijana tu yamefanya kujuana na watu wengi wenye taaluma mbalimbali na kupeana michongo sio mambo yote yanataka mitaji vingine brain yako tu ndio mtaji.
Sasa wewe hapa ndio umenyoosha maelezo. Kwenye hizi sehemu ulizotaja kuna uwezekano wa kupata connection maana ni rahisi kumu-approach mtu au unakuta mnaonana Mara kwa mara kwahiyo ni rahisi mtu kukupa muda wake akakusikiliza au mkabadilishana mawasiliano. Nyumba za ibada, makongamano, events mfano uzinduzi wa kitu Fulani n.k Unaonaaa
Sio hotel au mgahawani unaanza kufuatafuata watu mezani ,wenye hotel wakijua wanakutimuaa 🤣😀 una harrass wateja wao
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
witnessj hebu njoo
Hahahahahaha

Nimeona asee nimecheka kisengee.... connection uipate club ya wazee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Pis kale za mjini zote zimejiongeza baada ya kuzalishwa na mabosi ña kuhamia Dodoma kwahiyo Sasa hivi pis kale zote Ni single Maza na zimejiongeza kufungua pub na sisi ndio tunaponea hapo kwa kuchanganya damu
Connectn ya kibabe hii 😄😄😄
Bosi anatoka dom anakukuta na bby mama wake sebuleni tena na mtt juu
Siku za mwanzo ataleta fujo ila badae mnakua marafiki hatimaye anakutaftia na ww michongo 😄😄😄😄
 
Back
Top Bottom