Kama mnaangalia football mtajikuta mnaconnect kirahisi tu [emoji23][emoji23]Hahahaha hio inahitaji Bachelor of Arts in Chawaism and Boss Management!
Mie ni muongeaji mzuri ila ni mpaka mtu aoneshe interest ila sina guts za kukurupukia mtu tu ghafla simjui wala hanijui[emoji28]
Unajichanganya unadhani upo na kampani ya maana baada ya mda unashangaa mnapiga stori za mikeka tena ya jero jero 😄😄😄😃Kuna uwezekano ukaenda na Ukakutana na wazugaji wenzako, na ukapigwa za uso; kuna means nyingi tu za connection; Sidhani kama watu wote waliotoboa maisha walienda maeneo hayo.
Unajichanganya unadhani upo na kampani ya maana baada ya mda unashangaa mnapiga stori za mikeka tena ya jero jero [emoji1][emoji1][emoji1][emoji2]
HahahahAina mpya ya wanaume kujiuza,, dah mijini Kuna mambo
Nyiee mnaolipiwa hizo out na madanga ni vyepesi 😅 ila kwa kijana ambaye anaishi kwa shemeji yake hizo hela za kwenda ku hang out masaki kila siku nani anatoa?
Yani mtu akomae na bajaji siku nzima apate 30 yake halafu akale milkshake na chips masaki?😅 kisa tu apate connection ya kazi huo ujinga nani anafanya?
Huyo jamaa ni wewe mwenyewe....... hongera boss kwa kutusua na tunakushukuru kwa kutupa mbinu za kutusua.Nakubaliana na wew kbsaa Kuna jmaa namfahamu alisoma pale udsm engineering sas alikuwa anapendelea sna kwenda kwenye mahotel makubwa kwenda kutazama mpira na yey Ni shabiki wa man u kindakindaki humwambii kitu chochote kuhusu man siku moja
J mosi fln HV alikwenda kutazam man u ikicheza na Chelsea kipindi Cha sir fegi bas bhna ktk kushangilia kumbe alikuwa ameketi karibu na MD wa voda kumbe md wa voda Ni shabiki wa man u bas wakawamarafiki wakapeana namba wakah wanakutana Apo kweny hotel kweny mech zote za man u bas jmaaa alivyotambuwa kuwa Ni mtu mzito inabdi amzomee gap ..na kumuambia tafadhali amzadie kibarua pale voda kwa kuwa Hana Kaz kwa sasa jmaa akamumbia nitumie cv zako kwa email zake bass jmaa jtatu akapigia simu aripoti mjengoni nakuanza Kaz Kama engineer ...yule braza mpk sas Ni mtu mzito sna mtaani na kwa kuwa moja Kati ya vijana vigogo sana
Hvyo nakubaliana na wew kuwa Hakuna michongo yoyote ktk vibanda umiza kbsa michongo iko julina na element na samaki samaki na viwanja vingine vikubwaa kubwaa haswaa ndio utakowapata Hawa watu mashuhuri na mhrs wakubwa
Ndio hapo, graduates nchi hii wapo wangapi...kila graduate akisema aende huko kutatosha?Wapo wachache wenye hulka za namna hiyo lakini haiwezi kuwa suluhisho kwa vijana wengi ambao hawana ajira........inaweza kufikia hoteli ya nyota tano ikawa kama kijiwe cha kahawa.
Upo sahihi kabisa...hili huchukua muda mrefu maana sio kila unayemuona huko anaweza kukupa connection..Hahahahahah kila kitu kinataka mtaji yani, huwezi ukaenda eneo flani mara ya kwanza tu ukaanza kushobokea watu! Lazma uwe mteja uwe familiar na watu wa pale. Lets say kila weekend upo hapo unazuga je,utaweza ku maintain?
Pia mtu ambaye hata kama ni boss azoee kukuona mazingira yale pale. Anapoongea na wahudumu vizuri ama ukaongea na wahudumu vizuri akakuona ndio anakuwa na confidence hata ukimfata. Ila lazma kuwe na chanzo tu cha kuwakutanisha.
Hio ni process na kwa kijana wa kawaida sio rahisi! You need to have capital kwa kweli maana bei ya vitu pia maeneo hayo ni expensive na hakuna kitu kinaniudhi kama niende nikakae sehemu expensive wakati nina hela ya mawazo!
Utakaa hapo unakunywa soda lisaa lizima sababu una elfu 10 tu mfukoni huwezi agiza hata chakula waaaaiii ungese pro max!
Teh teh teh teh....sikujua hili aisee...nikibahatika kupata hili zali nitatumia mahesabu sana.Kwenye sherehe usifakamie mabagia kuna kuku mbeleni zile starter zisikutie wazim
Hahahahha unashiba ma popcorn karanga na mitori af ndafu na kuku unaziangalia tu😅Teh teh teh teh....sikujua hili aisee...nikibahatika kupata hili zali nitatumia mahesabu sana.
YahUpo sahihi kabisa...hili huchukua muda mrefu maana sio kila unayemuona huko anaweza kukupa connection..
...Sema basi tu tunaogopa aibu....ila sehemu kama hizo ni vizuri kwenda na vifungashio (mifuko) ya akiba hivyo vinavyobaki unabeba........sema huwezi fanya hivyo mbele ya washua maana utajichafulia CV ambayo ingekusaidia mbeleni.Hahahahha unashiba ma popcorn karanga na mitori af ndafu na kuku unaziangalia tu😅
Hahahahahaha maninaMzee anadhani bado tupo enzi za akina Warioba/Msekwa, maisha yamebadilika sana! And bahati mbaya siku hizi kutoa kiboga siyo lazima uwe umelegea legea, unaweza ukajiaminisha unasura ngumu lakini bado watu "wakarara mbere" na wewe