Vijana acheni kunywa bia kwenye vibanda umiza, connection zote za maisha zinapatikana katika mahotel makubwa hapa mjini

Vijana acheni kunywa bia kwenye vibanda umiza, connection zote za maisha zinapatikana katika mahotel makubwa hapa mjini

Hahahaha hio inahitaji Bachelor of Arts in Chawaism and Boss Management!

Mie ni muongeaji mzuri ila ni mpaka mtu aoneshe interest ila sina guts za kukurupukia mtu tu ghafla simjui wala hanijui[emoji28]
Kama mnaangalia football mtajikuta mnaconnect kirahisi tu [emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Unajichanganya unadhani upo na kampani ya maana baada ya mda unashangaa mnapiga stori za mikeka tena ya jero jero [emoji1][emoji1][emoji1][emoji2]

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Huu Uzi umenifanya nicheke sana

Ila watu mna makasiriko sana
 
Angalizo kama wewe mnywaji ukilewa unaanza kulia kupiga makelele Kila mziki ukipigwa unacheza huna ustarabu matusi nje nje kushika shika wahudumu hizo sehemu usiende utajikuta umeamkia kituo cha polisi

Hayo maeneo yanaitaji ustaharabu wa hali ya juu kunywa lewa tulia siyo ugeuke kondeboy au diamond kelele kibao hakuna.

Mtoa mada niongezee nyama kidogo dress code nayo Ina matter wewe graduater mzima unanyoa mitindo ya kiswahili Swahili tu unavaa modo jeans yani huna muonekano kushawish mtu take kujua wewe nani kwanini upo pale yani akikuona tu anajua uyu dancer kaja location hili si kwa boys tu hata girls jaribuni jitafuta katika dress code si lazima uvae suali ya kitaaa na shati la kitenge au bibie uvae gauni hapana be simple but classic.
 
😂😂😂😂😂😂😂Dah,Ila kweli mkuu kiuhalisia mtu hawezi fanya hayo mambo
Nyiee mnaolipiwa hizo out na madanga ni vyepesi 😅 ila kwa kijana ambaye anaishi kwa shemeji yake hizo hela za kwenda ku hang out masaki kila siku nani anatoa?

Yani mtu akomae na bajaji siku nzima apate 30 yake halafu akale milkshake na chips masaki?😅 kisa tu apate connection ya kazi huo ujinga nani anafanya?
 
Nakubaliana na wew kbsaa Kuna jmaa namfahamu alisoma pale udsm engineering sas alikuwa anapendelea sna kwenda kwenye mahotel makubwa kwenda kutazama mpira na yey Ni shabiki wa man u kindakindaki humwambii kitu chochote kuhusu man siku moja
J mosi fln HV alikwenda kutazam man u ikicheza na Chelsea kipindi Cha sir fegi bas bhna ktk kushangilia kumbe alikuwa ameketi karibu na MD wa voda kumbe md wa voda Ni shabiki wa man u bas wakawamarafiki wakapeana namba wakah wanakutana Apo kweny hotel kweny mech zote za man u bas jmaaa alivyotambuwa kuwa Ni mtu mzito inabdi amzomee gap ..na kumuambia tafadhali amzadie kibarua pale voda kwa kuwa Hana Kaz kwa sasa jmaa akamumbia nitumie cv zako kwa email zake bass jmaa jtatu akapigia simu aripoti mjengoni nakuanza Kaz Kama engineer ...yule braza mpk sas Ni mtu mzito sna mtaani na kwa kuwa moja Kati ya vijana vigogo sana


Hvyo nakubaliana na wew kuwa Hakuna michongo yoyote ktk vibanda umiza kbsa michongo iko julina na element na samaki samaki na viwanja vingine vikubwaa kubwaa haswaa ndio utakowapata Hawa watu mashuhuri na mhrs wakubwa
Huyo jamaa ni wewe mwenyewe....... hongera boss kwa kutusua na tunakushukuru kwa kutupa mbinu za kutusua.
 
Wapo wachache wenye hulka za namna hiyo lakini haiwezi kuwa suluhisho kwa vijana wengi ambao hawana ajira........inaweza kufikia hoteli ya nyota tano ikawa kama kijiwe cha kahawa.
Ndio hapo, graduates nchi hii wapo wangapi...kila graduate akisema aende huko kutatosha?
 
Hahahahahah kila kitu kinataka mtaji yani, huwezi ukaenda eneo flani mara ya kwanza tu ukaanza kushobokea watu! Lazma uwe mteja uwe familiar na watu wa pale. Lets say kila weekend upo hapo unazuga je,utaweza ku maintain?

Pia mtu ambaye hata kama ni boss azoee kukuona mazingira yale pale. Anapoongea na wahudumu vizuri ama ukaongea na wahudumu vizuri akakuona ndio anakuwa na confidence hata ukimfata. Ila lazma kuwe na chanzo tu cha kuwakutanisha.

Hio ni process na kwa kijana wa kawaida sio rahisi! You need to have capital kwa kweli maana bei ya vitu pia maeneo hayo ni expensive na hakuna kitu kinaniudhi kama niende nikakae sehemu expensive wakati nina hela ya mawazo!

Utakaa hapo unakunywa soda lisaa lizima sababu una elfu 10 tu mfukoni huwezi agiza hata chakula waaaaiii ungese pro max!
Upo sahihi kabisa...hili huchukua muda mrefu maana sio kila unayemuona huko anaweza kukupa connection..
 
Hahahahha unashiba ma popcorn karanga na mitori af ndafu na kuku unaziangalia tu😅
...Sema basi tu tunaogopa aibu....ila sehemu kama hizo ni vizuri kwenda na vifungashio (mifuko) ya akiba hivyo vinavyobaki unabeba........sema huwezi fanya hivyo mbele ya washua maana utajichafulia CV ambayo ingekusaidia mbeleni.
 
Mzee anadhani bado tupo enzi za akina Warioba/Msekwa, maisha yamebadilika sana! And bahati mbaya siku hizi kutoa kiboga siyo lazima uwe umelegea legea, unaweza ukajiaminisha unasura ngumu lakini bado watu "wakarara mbere" na wewe
Hahahahahaha manina
 
Back
Top Bottom