Vijana acheni kunywa bia kwenye vibanda umiza, connection zote za maisha zinapatikana katika mahotel makubwa hapa mjini

...Sema basi tu tunaogopa aibu....ila sehemu kama hizo ni vizuri kwenda na vifungashio (mifuko) ya akiba hivyo vinavyobaki unabeba........sema huwezi fanya hivyo mbele ya washua maana utajichafulia CV ambayo ingekusaidia mbeleni.
Hahahahaha unaonekana mzee wa take away
 
Mama alisema kila mbuzi ale kulingana na urefu wa kamba yake
 
Vaa vizuri nenda ukifika agiza maji au soda water.. take responsibility.. kama auezi hata ivyo basi hata ukipata mchongo autafanyia kazi sababu ur lazy and can't think for yourself
 
100% wanasema ukitaka kufanikiwa Kwa jambo fulani Kaa na wale waliofanikiwa kwenye jambo hilo.
 
Mkuu sasa tusipovaa modo si tutaonekana washamba au?
Kwny kunyoa, naomba kujua ni mitindo gan inaonekana kuwa ni ya kiswahiili/kihuni?

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
 
Unataka ukaliwe tigo acha skutegemea mwanaume mwenzio pga hata kaz ya zege jilegeze uone
Umeelewa swali langu au umekurupuka tu kuropoka? Kwan mm wapi nmeandika nategemea mwanaume mwenzangu?

Humu jukwaan watu mna stress sana yan mnaropoka ropoka hovyo unaulizwa hiki, unajibu kile yan tafrani tupu

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
 
M nawewe nan anatopoka???pole kavae nyoa vizur nenda katege kwa wanaume wenzio wakulipue pole sana mkuu uko legelege inaonekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…