Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hahahahaha unaonekana mzee wa take away...Sema basi tu tunaogopa aibu....ila sehemu kama hizo ni vizuri kwenda na vifungashio (mifuko) ya akiba hivyo vinavyobaki unabeba........sema huwezi fanya hivyo mbele ya washua maana utajichafulia CV ambayo ingekusaidia mbeleni.