Case closed[emoji91]Watu wanasema tu haya mambo sio rahisi kiasi hiki kama ilimtokea mtu basi ilikuwa bahati yake tu
Hahahaha hio inahitaji Bachelor of Arts in Chawaism and Boss Management!Kama walivyosema wachangia mada hapo juu unaanzaje kudandia watu tu from no where. kushoboka nayo yataka moyo hiki Ni kipaji spesho kwa kweli si wote tunaweza.
Hao waliofanikiwa kwa njia hii pengine ni kismati tu, ila watu wanaweza kujaribu bahati zao hapa 😁
Kwa Mimi ninavyojua hotel au migahawa watu wameenda na Mambo yao unakuta wametulia zao Sasa unamuingiaje ingiaje mtu ndio najiuliza hapaa sasa 🤔 ..si utaonekana namna gani vipi either tapeli au vipi vipi .... At least Kwenye Bar au night clubs au sehemu za michezo hapo unaweza kujizima data ukamvaa mtu.
labda mtu akajiunge zile clubs za gofu, swimming, tennes ,mpira n.k au sehemu za kuangalia michezo kidogo mnaweza ku-socialize
Nyie ingieni kwa gia ya michezo tu au story za siasa. Ikibidi sambazeni vipeperushi vya injili tuNDUGU mtoa mada! Ahsante kwa ushauri wako mzuri kabisa na wenye manufaa kwenye kutengeneza mtandao wenye manufaa!
Sasa kwa sisi ambao sio watumia vilevi... Kama pombe nk...
Unatushauri kuingia kwa gia gani hayo maeneo! Ili tuweze kupata connection??
Hio pesa ya milkshake ndio nauli yake ya kumtoa Gongo la Mboto mpaka Masaki labda anywe pepsi ya buku 4Nakusogezea Menu, ushindwe mwenyeweView attachment 2076117View attachment 2076118
Hahahahahahah sio kila mwenye kitambi ni Mkurugenzi au Katibu wengine madalali tu na wauza simu toka Makumbusho😅Eeh bana umeongea point moja kubwa sana…
Mimi nilipata mchongo mmoja ambao ulibadilisha maisha yangu toka kwa bi maza mmoja nilikutana nae kwenye dating site (badoo).. ki ukweli nia yangu ilikua kumkula [emoji23][emoji23][emoji23] lakini katika harakati za kumpanga apangike nikagundua ni mtu na heshima na connection zake, ikabidi niwe chawa kama Mwigulu na mwisho wa siku akanipa pass moja kali sana nikapata tender eneo flani..
toka siku hiyo nikamuheshimu na mawazo ya kumkula yakaisha kabisaaa nampa shikamoo yake hadi leo..
Sema kwenye bar yahitaji uvumilivu sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unakutana na mijomba inajifanya kitengo uminakulisha matango pori na wewe unakuja kutambia kitaa kwamba una intel [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ubaya ni kuwa kahawa ya pale ni bei ya kreti la soda😅 kwa kapuku hio haiko practical sanaWe nenda oysterbay pale shopers pembeni yake kuna mgahawa unaitwa kahawa.Pale utapata kahawa aina zote duniani na bites za kila namna.Watu utakaowakuta pale kila mtu kapaki Audi new shape Ford ranger Bmw na nyingine kali kali so utapata connection.
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
KabisaUbaya ni kuwa kahawa ya pale ni bei ya kreti la soda[emoji28] kwa kapuku hio haiko practical sana
Ndio mie nimeona sio practical sana unless home kwenu uwe mambo safi ukitekenya laki au 2 sio za shida. Ama uwe na kaishu kakukupa 20-30 za hapa na pale!Mtizamo wako ni wa kishamba sana we jamaa, sasa mtu hana ajira hela ya kwenda Serena hotel anaipata wapi?!
Sawa mkuu ila tunaomba na hela za kwenda kulia nyamachoma kwenye festival!
Yaani hii kazi ya kushoboka mahotelini ni zaidi ya kubet. Unaweza kuwekeza pesa ya nauli na kinywaji na usipate kitu.Hio pesa ya milkshake ndio nauli yake ya kumtoa Gongo la Mboto mpaka Masaki labda anywe pepsi ya buku 4
Hahahahahah kila kitu kinataka mtaji yani, huwezi ukaenda eneo flani mara ya kwanza tu ukaanza kushobokea watu! Lazma uwe mteja uwe familiar na watu wa pale. Lets say kila weekend upo hapo unazuga je,utaweza ku maintain?Yaani hii kazi ya kushoboka mahotelini ni zaidi ya kubet. Unaweza kuwekeza pesa ya nauli na kinywaji na usipate kitu.
Kwanza sio rahisi kwa mara ya kwanza mtu kukufungukia yeye ni nani na anafanya mishe gani eti kisa umemshobokea kuulizauliza Maswali na kuomba namba, kwanza huyo mtu atakukwepa tu.
Haya mambo ya kwenda kujishobokesha Kwenye mahotel makubwa ndio yamefanya wadada siku hizi wanazuiwa kuingia kwenye hizo hotel . Ukiona hivyo imeshakua kero kwa wateja wao, na watu wengi hawapendi shobo.
Kuna mazingira Fulani wakati hutokea mnakuta labda mna- connect mnakua comfortable mnafahamiana. Ila ni mara chache Sana hutokea maana wengi wanaoenda huenda kwa Mambo yao.
Labda watupe mbinu wenzetu wanafanyaje fanyaje na sisi tupate makoneksheni
Hapo bado hajaletewa menu ya chakula🤣Hio pesa ya milkshake ndio nauli yake ya kumtoa Gongo la Mboto mpaka Masaki labda anywe pepsi ya buku 4
Bia buku 7 mtu ambaye anaweza kuwazungushia round za bia kwa hio bei huyo hahitaji connection bali anatakiwa apate mentor sahihi wa matumizi yake ya fedha hasa namna ya kuinvest!Non alcohol zipo nyingi,hata maji yanatosha,kuna chupa ya maji hii ya Kilimanjaro inauzwa mpk bk5,kijiwe kikichangamka wanunulie pombe wanaokunywa japo hii inaitwa pata potea kwn unawezajikuta umekaa na popo na kununulia pombe watu wasio kumbe nao wanatafuta connections wewe,wanabaki kukwambia thanks bro, dunia hii jaman [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
Unaletewa menu unasema tulia ntakuita 😅 ukifululiza na huu ujinga siku 3 ukifika siku ya 4 wahudumu wanakupita tu kama hawakuoni hata hukaribishwi wala huulizwi kitu maana hata tip hutoi!Hapo bado hajaletewa menu ya chakula🤣
Virgin mojito,pinacolada,strawberry daiquiri Na nyinginezoTusiokunywa pombe unatushauri tukiingia humo tutumie vinywaji gani mkuu?
Maana mwaka fulani nilifukuzwa na jamaa zangu eti nawaletea nyuki kisa wao wanakunywa beer mimi nina grand malt kwenye meza yao,ila fresh tu but wanywa pombe Mungu anawaona.