Vijana acheni kunywa bia kwenye vibanda umiza, connection zote za maisha zinapatikana katika mahotel makubwa hapa mjini

Vijana acheni kunywa bia kwenye vibanda umiza, connection zote za maisha zinapatikana katika mahotel makubwa hapa mjini

Ni weird sana kumfata mtu usiemjua kwenye meza yake moja kwa moja..kwanza atakuchukulia kama una agenda isiyo ya kawaida

Ila unaweza kutumia advantage ya jambo flani linalotokea au linaloendelea ili kutengeneza ushikaji, mfano kuna mmoja huko juu amesema ushabiki wa mpira uliwafanya wakawa na urafiki na Director wa Voda

Hapa issue ni kuwa social na smart..Mfano kunaweza kutokea mada ya jambo flani then from no where ukaongea content nzito ikawafanya watu wawe interested na wewe. Then story na connection vikaanzia hapo....
 
Kama walivyosema wachangia mada hapo juu unaanzaje kudandia watu tu from no where. kushoboka nayo yataka moyo hiki Ni kipaji spesho kwa kweli si wote tunaweza.
Hao waliofanikiwa kwa njia hii pengine ni kismati tu, ila watu wanaweza kujaribu bahati zao hapa 😁

Kwa Mimi ninavyojua hotel au migahawa watu wameenda na Mambo yao unakuta wametulia zao Sasa unamuingiaje ingiaje mtu ndio najiuliza hapaa sasa 🤔 ..si utaonekana namna gani vipi either tapeli au vipi vipi .... At least Kwenye Bar au night clubs au sehemu za michezo hapo unaweza kujizima data ukamvaa mtu.

labda mtu akajiunge zile clubs za gofu, swimming, tennes ,mpira n.k au sehemu za kuangalia michezo, angalau mnaweza kupata chance ya ku-socialize
 
Kama walivyosema wachangia mada hapo juu unaanzaje kudandia watu tu from no where. kushoboka nayo yataka moyo hiki Ni kipaji spesho kwa kweli si wote tunaweza.
Hao waliofanikiwa kwa njia hii pengine ni kismati tu, ila watu wanaweza kujaribu bahati zao hapa 😁

Kwa Mimi ninavyojua hotel au migahawa watu wameenda na Mambo yao unakuta wametulia zao Sasa unamuingiaje ingiaje mtu ndio najiuliza hapaa sasa 🤔 ..si utaonekana namna gani vipi either tapeli au vipi vipi .... At least Kwenye Bar au night clubs au sehemu za michezo hapo unaweza kujizima data ukamvaa mtu.

labda mtu akajiunge zile clubs za gofu, swimming, tennes ,mpira n.k au sehemu za kuangalia michezo kidogo mnaweza ku-socialize
Hahahaha hio inahitaji Bachelor of Arts in Chawaism and Boss Management!

Mie ni muongeaji mzuri ila ni mpaka mtu aoneshe interest ila sina guts za kukurupukia mtu tu ghafla simjui wala hanijui😅
 
NDUGU mtoa mada! Ahsante kwa ushauri wako mzuri kabisa na wenye manufaa kwenye kutengeneza mtandao wenye manufaa!
Sasa kwa sisi ambao sio watumia vilevi... Kama pombe nk...
Unatushauri kuingia kwa gia gani hayo maeneo! Ili tuweze kupata connection??
Nyie ingieni kwa gia ya michezo tu au story za siasa. Ikibidi sambazeni vipeperushi vya injili tu
 
Eeh bana umeongea point moja kubwa sana…
Mimi nilipata mchongo mmoja ambao ulibadilisha maisha yangu toka kwa bi maza mmoja nilikutana nae kwenye dating site (badoo).. ki ukweli nia yangu ilikua kumkula [emoji23][emoji23][emoji23] lakini katika harakati za kumpanga apangike nikagundua ni mtu na heshima na connection zake, ikabidi niwe chawa kama Mwigulu na mwisho wa siku akanipa pass moja kali sana nikapata tender eneo flani..

toka siku hiyo nikamuheshimu na mawazo ya kumkula yakaisha kabisaaa nampa shikamoo yake hadi leo..

Sema kwenye bar yahitaji uvumilivu sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unakutana na mijomba inajifanya kitengo uminakulisha matango pori na wewe unakuja kutambia kitaa kwamba una intel [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahahahah sio kila mwenye kitambi ni Mkurugenzi au Katibu wengine madalali tu na wauza simu toka Makumbusho😅

Af ubaya kila mtu anayeigiza maisha anaenda hizo sehemu kali wachache sana wana ishu za ukweli!

Hongera kwa kujiopolea bi. Mkubwa huyo aliokupa shavu! Kweli usiyemjua ndio anakupa maisha siku zote
 
We nenda oysterbay pale shopers pembeni yake kuna mgahawa unaitwa kahawa.Pale utapata kahawa aina zote duniani na bites za kila namna.Watu utakaowakuta pale kila mtu kapaki Audi new shape Ford ranger Bmw na nyingine kali kali so utapata connection.

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Ubaya ni kuwa kahawa ya pale ni bei ya kreti la soda😅 kwa kapuku hio haiko practical sana
 
Mtizamo wako ni wa kishamba sana we jamaa, sasa mtu hana ajira hela ya kwenda Serena hotel anaipata wapi?!
Ndio mie nimeona sio practical sana unless home kwenu uwe mambo safi ukitekenya laki au 2 sio za shida. Ama uwe na kaishu kakukupa 20-30 za hapa na pale!

Vinginevyo kwa vijana wa zero-grazing inakuwa ngumu.
 
Hio pesa ya milkshake ndio nauli yake ya kumtoa Gongo la Mboto mpaka Masaki labda anywe pepsi ya buku 4
Yaani hii kazi ya kushoboka mahotelini ni zaidi ya kubet. Unaweza kuwekeza pesa ya nauli na kinywaji na usipate kitu.

Kwanza sio rahisi kwa mara ya kwanza mtu kukufungukia yeye ni nani na anafanya mishe gani eti kisa umemshobokea kuulizauliza Maswali na kuomba namba, kwanza huyo mtu atakukwepa tu.

Haya mambo ya kwenda kujishobokesha Kwenye mahotel makubwa ndio yamefanya wadada siku hizi wanazuiwa kuingia kwenye hizo hotel . Ukiona hivyo imeshakua kero kwa wateja wao, na watu wengi hawapendi shobo.
Kuna mazingira Fulani wakati mwingine hutokea mnakuta labda mna- connect mnakua comfortable mnafahamiana. Ila ni mara chache Sana hutokea maana wengi wanaoenda huenda kwa Mambo yao.
Sasa ni jambo la kubahatisha Sana Wakati mtu ushatumia nauli na kula vyakula expensive kwa hela ya ngama.

Labda watupe mbinu wenzetu wanafanyaje fanyaje na sisi tupate makoneksheni
 
Yaani hii kazi ya kushoboka mahotelini ni zaidi ya kubet. Unaweza kuwekeza pesa ya nauli na kinywaji na usipate kitu.

Kwanza sio rahisi kwa mara ya kwanza mtu kukufungukia yeye ni nani na anafanya mishe gani eti kisa umemshobokea kuulizauliza Maswali na kuomba namba, kwanza huyo mtu atakukwepa tu.

Haya mambo ya kwenda kujishobokesha Kwenye mahotel makubwa ndio yamefanya wadada siku hizi wanazuiwa kuingia kwenye hizo hotel . Ukiona hivyo imeshakua kero kwa wateja wao, na watu wengi hawapendi shobo.
Kuna mazingira Fulani wakati hutokea mnakuta labda mna- connect mnakua comfortable mnafahamiana. Ila ni mara chache Sana hutokea maana wengi wanaoenda huenda kwa Mambo yao.

Labda watupe mbinu wenzetu wanafanyaje fanyaje na sisi tupate makoneksheni
Hahahahahah kila kitu kinataka mtaji yani, huwezi ukaenda eneo flani mara ya kwanza tu ukaanza kushobokea watu! Lazma uwe mteja uwe familiar na watu wa pale. Lets say kila weekend upo hapo unazuga je,utaweza ku maintain?

Pia mtu ambaye hata kama ni boss azoee kukuona mazingira yale pale. Anapoongea na wahudumu vizuri ama ukaongea na wahudumu vizuri akakuona ndio anakuwa na confidence hata ukimfata. Ila lazma kuwe na chanzo tu cha kuwakutanisha.

Hio ni process na kwa kijana wa kawaida sio rahisi! You need to have capital kwa kweli maana bei ya vitu pia maeneo hayo ni expensive na hakuna kitu kinaniudhi kama niende nikakae sehemu expensive wakati nina hela ya mawazo!

Utakaa hapo unakunywa soda lisaa lizima sababu una elfu 10 tu mfukoni huwezi agiza hata chakula waaaaiii ungese pro max!
 
Non alcohol zipo nyingi,hata maji yanatosha,kuna chupa ya maji hii ya Kilimanjaro inauzwa mpk bk5,kijiwe kikichangamka wanunulie pombe wanaokunywa japo hii inaitwa pata potea kwn unawezajikuta umekaa na popo na kununulia pombe watu wasio kumbe nao wanatafuta connections wewe,wanabaki kukwambia thanks bro, dunia hii jaman [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
Bia buku 7 mtu ambaye anaweza kuwazungushia round za bia kwa hio bei huyo hahitaji connection bali anatakiwa apate mentor sahihi wa matumizi yake ya fedha hasa namna ya kuinvest!
 
Back
Top Bottom