Vijana acheni kuoa watu wenye jinsia ya kike, oeni wanawake

Vijana acheni kuoa watu wenye jinsia ya kike, oeni wanawake

MIMI....sijui ila kwa uelewa wangu mdogo nadhani....pesa ndio chai ya kila mkate mgumu...bwana...japo wenye pesa nao wanayasumbukia mapenzi muda mwingine
 
Gustav coordinate, repeat coordinate
Uwanja wa vita ukichachamaa mambo yanakuwa moto..risasi na mabomu..

KIKI..KIKIKIKIKI...KIKIKIKIII...(risasi)
PUUUUUAAAAAA (bom)

"Go..go..go..goooo"
"YOOUUU..CCOOVVEERR MEEE..OKKKEEE??
"I Can't hear you ssirr"
"F*ck youuu.. CCOOVVEERR MEEE"
"WHHHHAAATTT???"

KIKIKIIIIIII..KKIIIIKIIKIII...PPUUUUAAA
 
Plutoon get down,
Reinforcement, i repeat Reinforcement
 
Usinipangie bro. Kama ushauri wako mali kaa nao
 
MIMI....sijui ila kwa uelewa wangu mdogo nadhani....pesa ndio chai ya kila mkate mgumu...bwana...japo wenye pesa nao wanayasumbukia mapenzi muda mwingine
Je wajua wasio na kitu ndio wasumbufu zaidi duniani?
 
Habari zenu wana Jamii Forums

Twende moja kwa moja kwenye mada, Vijana wa leo wamekuwa wakurupukaji na malimbukeni,kwenye swala kuoa
Wamejikuta wakioa watu wenye jinsia za kike na si wanawake, matokeo yake kuyumbishwa, kupelekeshwa na kurudishwa nyuma kiuchumi.

Wengi huendeshwa na tamaa na kufata mkumbowatu wenye jinsia za kike ni pasua kichwa:
(1) Ni wajuaji wa kila kitu
(2) Wamejaa viburi na majivuno
(3) Si wasikilizaji ila ni waropokaji wazuri sana
(4) Wana lugha chafu midomoni mwao na wapenda shari
(5) Wanapenda kulazimisha wafanyiwe vitu hata kama huna uwezo nacho

Ukiwa na huyo mtu mwenye jinsia ya kike, tegemea kurudi nyuma kiuchumi kwa %99 na kupata magonjwa ya ajabu ajabu

View attachment 1513137

Sasa kwa nini kijana mdogo ujiingize kwenye matatizo yanayoepukika? Unakuta kijana mdogo wa umri wa 25 /30 , anahangaika na matatizo ya mahusiano badala ya kuhangaika na kujijenga kiuchumi

Kichwa cha mwanaume huwa hakitaki kelele, kinataka utulivu ili kupanga na kuchakata mipango endelevu ya maendeleo

METHALI 21:19

Kwa hii trend ya wanaume kulalamika sana kuhusu wanawake muda si mrefu tutawafikia mabeberu maana na wao walianza na malalamiko haya haya tunachokiona sasa ni maajabu
 
Kwa hii trend ya wanaume kulalamika sana kuhusu wanawake muda si mrefu tutawafikia mabeberu maana na wao walianza na malalamiko haya haya tunachokiona sasa ni maajabu
Mambo si mambo tena
 
Back
Top Bottom