Vijana acheni pombe na Energy drinks, mwifwa

Aisee Mimi bila Energy drinks sijisikii vizuri kabisaaa, 2014 nilikuwa nakunywa mpaka 6 per day lakini Sasa hivi asubuhi kabla sijala chochote lazima ninywe moja baridiii sana ndio nitafute chai Sasa. 🤣🤣🤣
Hayo madude sio mazuri yanaongeza sana mapigo ya moyo na yanaweza kukupelekea kupata matatizo ya shinikizo la damu
 
Aisee Mimi bila Energy drinks sijisikii vizuri kabisaaa, 2014 nilikuwa nakunywa mpaka 6 per day lakini Sasa hivi asubuhi kabla sijala chochote lazima ninywe moja baridiii sana ndio nitafute chai Sasa. 🤣🤣🤣
Halafu mwenyewe unacheka kama umeandika kitu cha kufurahisha vile!!😏😏😏 ovyooo
 
Huenda watengenezaji wake ndiyo wanaolipa kodi kubwa serikalini!
 
Aisee Mimi bila Energy drinks sijisikii vizuri kabisaaa, 2014 nilikuwa nakunywa mpaka 6 per day lakini Sasa hivi asubuhi kabla sijala chochote lazima ninywe moja baridiii sana ndio nitafute chai Sasa. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kapime figo na ini then utuletee majibu... Mara nyingi elimu yetu watu wanafikiri tunasoma ili tupate kazi au kuajiriwa. Ukweli ni kwamba elimu ni maisha, waliosema ni ufunguo wa maisha walikuwa sahihi. Ukiwa umeelimika huwezi tuu kuamua kujinywea chupa 6 za energy drinks kwa sababu utakuwa unajua madhara yake, ukiwa umeelimika utajua huwezi kufanya sex peku peku kwa sababu unaweza kupata magonjwa au unplanned pregnancies, ukiwa umeelimika.... the list goes on and on...
 
Niko vizuri halafu unywaji huo ulikuwa ni zaidi ya miaka 6 au 7 nyuma sio leo
 
Watoe maelezo kitaalamu hizo energy drink zina chemical zipi ndani yake zinaopelekea kuharibu figo, sio kusema tu energy drinks zinaharibu figo.
Hii itasaidia sana watu wapate uelewa kwa upana zaidi.
Watu wengi wana smart phones ambapo madhara ya energy drinks yameelezwa, lakini kwa kuwa simu matumizi makubwa ni kuzama kwa Mange Kimambi App, story za udaku, kubeti nk bado watu wanadai wapewe elimu. Hivi mbona hakuna aliyetoa elimu ya jinsi ya kubeti, kutafuta mademu au kupiga pombe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…