Blender
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 4,870
- 8,035
Mkuu unakunywa Lita 6 za maji ni yakununua AU ya kisimani ?Niko fiti Mkuu nakimbia kilometa 14, napiga push-ups 30 naruka kamba mara 100. Nakunywa maji Lita 6 daily na Sina tatizo hata kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unakunywa Lita 6 za maji ni yakununua AU ya kisimani ?Niko fiti Mkuu nakimbia kilometa 14, napiga push-ups 30 naruka kamba mara 100. Nakunywa maji Lita 6 daily na Sina tatizo hata kidogo
Yes wazungu kwenye pharmacetical industries ndio wanaoleta shida ili wauze dawa zao lazima watutie magonjwaPia huwa nashangaa vijijini kuna vibabu toka tunakua mpaka now tunazeeka vinakunywa gongo na hatujawai kusikia hizi case za figo, ini wapo na wanadunda, Mimi nadhani hizo kemikali wanazoweka ndo zinaleta shida.
Bora ufe maskini, ukiwa na mitala plus Mali lazima familia iparanganyike, ngozi nyeusi na ustaarabu wa Mali pamoja na uendelezaji Mali hauwezi fika kizazi cha nne.Kwakweli huyo mmoja tu anakutoa jasho hao wengi kwangu mimi naona siwezi, halafu ukifa huku nyuma sisi waswahili unaacha vita
Lakini ni vyema watoe maelezo ya kitaalamu zaidi, si kila mmoja atakubali au kukuunga mkono, ni asili ya binadamu, mambo ya kiafya yaelezwe kitaalamu zaidi, waingie maabara wafanye tafiti waje na maelezo yanayojitosheleza kwingine ni uswahili tu.Dr. Janabi amepiga kelele umuhimu wa kula vizuri uliona watu wanavyomnanga? Watz hata uwape maelezo na tafiti zote wasipokunanga watakuangalia tu... Ukitaka kuthibitisha angalia wenzako wanavyojibu kwenye huu uzi
Hii dunia ishakua tambala bovu.Yes wazungu kwenye pharmacetical industries ndio wanaoleta shida ili wauze dawa zao lazima watutie magonjwa
Sasa janabi naye kazidi mambo ya kula karoti moja na glass tatu za maji asubuhi then saa kumi jioni ule slice moja na kipande cha tango baadae usiku ule kipande cha parachichi na wali uliopakuliwa kwenye kisosi nani ataweza?????Dr. Janabi amepiga kelele umuhimu wa kula vizuri uliona watu wanavyomnanga? Watz hata uwape maelezo na tafiti zote wasipokunanga watakuangalia tu... Ukitaka kuthibitisha angalia wenzako wanavyojibu kwenye huu uzi
Kama kifo kipo TU, kafie Jihadi upate Mito ya pombeKifo kipo tu Mkuu
Janabi Sasa Anaipasua Nchi Amekuja Kwa Kasi Kama COVID 19 Vitisho TuSasa janabi naye kazidi mambo ya kula karoti moja na glass tatu za maji asubuhi then saa kumi jioni ule slice moja na kipande cha tango baadae usiku ule kipande cha parachichi na wali uliopakuliwa kwenye kisosi nani ataweza?????
Nyie hata mpewe maelezo yote mtaendelea tu na ratiba zenu. Haya mliambiwa mwanaume anatakiwa anywe bia mbili na nusu na mwanamke moja na nusu. Hiyo tu limewashinda, then mnataka research za energy drinks. Hata mkipewa mtasoma ?Lakini ni vyema watoe maelezo ya kitaalamu zaidi, si kila mmoja atakubali au kukuunga mkono, ni asili ya binadamu, mambo ya kiafya yaelezwe kitaalamu zaidi, waingie maabara wafanye tafiti waje na maelezo yanayojitosheleza kwingine ni uswahili tu.
Mfano kwenye hao wagonjwa wa figo wame conclude vipi kwamba chanzo chao kuugua ni energy drinks, je waliwauliza? Je miongoni mwao ni wangapi wanatumia energy? Kiasi gani kwa siku?
Lazima waje na taarifa zilizoshiba, bongo ubabaishaji mwingi.
Hawa vijana nilishawakanya kwa muda mrefu lakini hawanisikilizi. Sijui wanataka nini hasa.Nimesoma gazeti la Mwananchi jana lenye kichwa cha Habari ukurasa wa mbele kisemacho
Pombe, 'energy drinks' zinavyomaliza vijana
Kwa mujibu wa hili gazeti wakinukuu wataalamu wa afya wa Hospitali ya Benjamin Mkapa Dodoma ni kwamba:-
1. Vijana Wanne hadi Tisa hufika Hospital hiyo kila wiki Figo zikishindwa kufanya kazi.
2. Watanzania 10 kati ya 100 wana tatizo la Figo
3. Wahanga ni vijana umri kati ya 24-40
4. Gharama za kusafisha Figo kwa mwaka ni wastani wa TZS 31,200,000 Hadi 46,800,000 bila kuweka gharama nyingine kv usafiri
5. Energy drinks ni disaster kwenye moyo kwa mujibu daktari bingwa wa JKCI.
6. Matumizi ya vinywaji hivi yanaathiri pakubwa viungo vitatu ambavyo ni
-Ini,
- Figo na
- Moyo.
7. Wahanga wakubwa ni vijana wa kiume.
MY TAKE:
Vijana acheni pombe, taifa linawategemea. Linda afya yako. Afya ni mtaji.
Waache ufisadi kwanza ndio watushauri...sgr wamemega mpka basiNimesoma gazeti la Mwananchi jana lenye kichwa cha Habari ukurasa wa mbele kisemacho
Pombe, 'energy drinks' zinavyomaliza vijana
Kwa mujibu wa hili gazeti wakinukuu wataalamu wa afya wa Hospitali ya Benjamin Mkapa Dodoma ni kwamba:-
1. Vijana Wanne hadi Tisa hufika Hospital hiyo kila wiki Figo zikishindwa kufanya kazi.
2. Watanzania 10 kati ya 100 wana tatizo la Figo
3. Wahanga ni vijana umri kati ya 24-40
4. Gharama za kusafisha Figo kwa mwaka ni wastani wa TZS 31,200,000 Hadi 46,800,000 bila kuweka gharama nyingine kv usafiri
5. Energy drinks ni disaster kwenye moyo kwa mujibu daktari bingwa wa JKCI.
6. Matumizi ya vinywaji hivi yanaathiri pakubwa viungo vitatu ambavyo ni
-Ini,
- Figo na
- Moyo.
7. Wahanga wakubwa ni vijana wa kiume.
MY TAKE:
Vijana acheni pombe, taifa linawategemea. Linda afya yako. Afya ni mtaji.
HahaaaaNyie hata mpewe maelezo yote mtaendelea tu na ratiba zenu. Haya mliambiwa mwanaume anatakiwa anywe bia mbili na nusu na mwanamke moja na nusu. Hiyo tu limewashinda, then mnataka research za energy drinks. Hata mkipewa mtasoma ?
Kuna ambao watafuata utaratibu kuna ambao hawatofuata.Nyie hata mpewe maelezo yote mtaendelea tu na ratiba zenu. Haya mliambiwa mwanaume anatakiwa anywe bia mbili na nusu na mwanamke moja na nusu. Hiyo tu limewashinda, then mnataka research za energy drinks. Hata mkipewa mtasoma ?
Yote ni ya kununua huku Manzese Kwa Mfuga Mbwa maji ya Kisima ni chumvi tu halafu ni scattered settlements huwezi kunywa maji ya chumvi lazima ununueMkuu unakunywa Lita 6 za maji ni yakununua AU ya kisimani ?
Kila chenye Uhai/Pumzi lazima kitakufa.Kama kifo kipo TU, kafie Jihadi upate Mito ya pombe
Hawajaelezea kitaalam lakini wanasema kuna ongezeko kubwa la tatizo la ugonjwa was figo na moyo kwa vijana tofauti na siku za nyuma.Tatizo hawaelezei kitaalamu energy drink inadhuru vipi figo.
Sahihi mkuu.Hawajaelezea kitaalam lakini wanasema kuna ongezeko kubwa la tatizo la ugonjwa was figo na moyo kwa vijana tofauti na siku za nyuma.
Wakati tunasubiria maelezo ya kitaalam, ni bora Kwa watumiaji kuchukua tahadhari...!