Vijana ambao mnatafuta Ajira Ogopeni Sana hizi namba za simu

Vijana ambao mnatafuta Ajira Ogopeni Sana hizi namba za simu

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
7,235
Reaction score
7,392
Vijana ambao mko kwenye michakato ya kutafuta Ajira Ogopeni Sana hizi namba za simu ambazo naziweka hapa

Hao jamaa sio watu wazuri, sijui wanatumia njia gani kujua kama umeomba kazi sehemu flan

Mdogo wangu juzi kalizwa laki 8

Walimpigia simu na walimwambia wanatokea sehemu ambayo ni kweli dogo aliwahi kuomba kazi sehemu hiyo

So vijana muwe makini Sana

0696 746 403
0749 002 311
0652 867 047
 
Basi tulia Tu ndugu yangu, watu wanalizwa wanaenda wenyewe bank kutoa ela zote
Ila binafsi hua nafurahi sana nilisikia kuna mtu katapeliwa hasa akiwa kijana, ingekuwa ni uwezo wangu nngetoa kibali kwa makampuni yote ya kitapeli kufanya kazi nchini bila ht kulipa kodi.
 
Ujawahi kutapeliwa so just Relax Tu, wale jamaa ni kama wachawi hivi
Hata sio uchawi, desperate za watafuta kazi tu ndio zinatumika hapo. Lazima mtu ukumbuke kila wakati changamoto yako ni fursa kwa wengine.

Anyways ndio amejifunza, siku nyingine atakua makini.
 
Back
Top Bottom