Kwani hiyo ajira ilikuwa na kipengele cha kutanguliza laki 8 kama security ya ajira?Haya mambo ombea yasikukute
Hakuna uchawi hapo kuna ufala kwa mdogo wako.Ujawahi kutapeliwa so just Relax Tu, wale jamaa ni kama wachawi hivi
Yaani ataanzaje kwanza kukuambia huo upupu?!, yaani hata mbinu za kumbana hana..Sad.Kwani hiyo ajira ilikuwa na kipengele cha kutanguliza laki 8 kama security ya ajira?
Upumbavu ni mzigo acha kutetea mambo ya utapeli wa kizamani.
Siyo wachawi wala nini, wale wanacheza na saikolojia ya mtu.Ujawahi kutapeliwa so just Relax Tu, wale jamaa ni kama wachawi hivi
Never everUjawahi kutapeliwa so just Relax Tu, wale jamaa ni kama wachawi hivi
Ila binafsi hua nafurahi sana nilisikia kuna mtu katapeliwa hasa akiwa kijana, ingekuwa ni uwezo wangu nngetoa kibali kwa makampuni yote ya kitapeli kufanya kazi nchini bila ht kulipa kodi.Basi tulia Tu ndugu yangu, watu wanalizwa wanaenda wenyewe bank kutoa ela zote
Hata sio uchawi, desperate za watafuta kazi tu ndio zinatumika hapo. Lazima mtu ukumbuke kila wakati changamoto yako ni fursa kwa wengine.Ujawahi kutapeliwa so just Relax Tu, wale jamaa ni kama wachawi hivi