Registered_jf
JF-Expert Member
- Nov 27, 2024
- 1,237
- 2,110
Anasema fanya yooote, lakini usipoteze kadi ya kiumeni.
Unapata chance ya kuwa mwanaume mara moja tu, ukipoteza hiyo umekwisha! Utahitaji matengenezo makubwa!!
Mwanaume anaweka. Mwanaume hawekewi.
Ndomana watu wanaishia kwenye ulevi na madawa ya kulevya kumbe wana yao yanawasibu moyoni hawana pa kuyamwaga!
Mwenzenu kapoteza biashara kibao kwasababu ya kulinda kadi yake ya kiumeni. You were born a man for a reason. A single heartbeat pumping millions of sperms for a reason.
Makofi na vigelegele kwa Dume La Mbegu.

My comment:
A man was made in God's image. Ukitaka kujua Mungu yukoje yukoje tunamuangalia Dume La Mbegu! Yani Mungu huyo hapo!
Thats why Wives used to call their Husbands "My Lord".