Ukishiba ugali wa shemeji yako unakuja kubwabwaja humuShule za serikali zimetelekezwa. Walimu hakuna, maabara hakuna, hata madawati hakuna. Watoto wa viongozi wako shule za binafsi, zenye mazingira mazuri. Wanaoshinda vizuri ni wale waliosoma shule za binafsi au waliokwenda form 5 tokea shule za binafsi.
Ujinga wa wizara imeanza kusomesha watoto walioshinda vizuri nje ya nchi kwa kisingizio cha taaluma fulani. Hizo ni bhla! Bhla! Ni upendeleo kwa wenye nacho. Inatakiwa wanafunzi waandamane kupinga ujinga wa wizara hii. Hakuna sababu ya kusomeshwa nje ya nchi wakati ndani ya nchi tuna vyuo.
Elimu iwekwe sawa ktk shule za serikali. Tusitafute mwanya wa kupendelea kundi moja. Kibaya zaidi Waziri analeta mambo ya enzi ya Elinawinga. Upendeleo wa kikabila umeanza kusikika wizarani ktk kutoa hiyo inayoitwa Samia Scholarship.
Admin, Tafadhari ondoa majitu senge kama huyu! watu wanajadilöi maisha ya watu lenyewe linahangaikia nyuma yake. Elimu ya nchi hii ingekuwa nzuri, tusingekuwa na wajinga kama huyu.Ukishiba ugali wa shemeji yako unakuja kubwabwaja humu
USSR
NONSENSEShule za serikali zimetelekezwa. Walimu hakuna, maabara hakuna, hata madawati hakuna. Watoto wa viongozi wako shule za binafsi, zenye mazingira mazuri. Wanaoshinda vizuri ni wale waliosoma shule za binafsi au waliokwenda form 5 tokea shule za binafsi.
Ujinga wa wizara imeanza kusomesha watoto walioshinda vizuri nje ya nchi kwa kisingizio cha taaluma fulani. Hizo ni bhla! Bhla! Ni upendeleo kwa wenye nacho. Inatakiwa wanafunzi waandamane kupinga ujinga wa wizara hii. Hakuna sababu ya kusomeshwa nje ya nchi wakati ndani ya nchi tuna vyuo.
Elimu iwekwe sawa ktk shule za serikali. Tusitafute mwanya wa kupendelea kundi moja. Kibaya zaidi Waziri analeta mambo ya enzi ya Elinawinga. Upendeleo wa kikabila umeanza kusikika wizarani ktk kutoa hiyo inayoitwa Samia Scholarship.
Another stupid contributor!NONSENSE
Ukishiba ugali wa shemeji yako unakuja kubwabwaja humu
USSR
Acha kushinda Jamii forum ili na wewe uwapeleke watoto shule za English medium.Shule za serikali zimetelekezwa. Walimu hakuna, maabara hakuna, hata madawati hakuna. Watoto wa viongozi wako shule za binafsi, zenye mazingira mazuri. Wanaoshinda vizuri ni wale waliosoma shule za binafsi au waliokwenda form 5 tokea shule za binafsi.
Ujinga wa wizara imeanza kusomesha watoto walioshinda vizuri nje ya nchi kwa kisingizio cha taaluma fulani. Hizo ni bhla! Bhla! Ni upendeleo kwa wenye nacho. Inatakiwa wanafunzi waandamane kupinga ujinga wa wizara hii. Hakuna sababu ya kusomeshwa nje ya nchi wakati ndani ya nchi tuna vyuo.
Elimu iwekwe sawa ktk shule za serikali. Tusitafute mwanya wa kupendelea kundi moja. Kibaya zaidi Waziri analeta mambo ya enzi ya Elinawinga. Upendeleo wa kikabila umeanza kusikika wizarani ktk kutoa hiyo inayoitwa Samia Scholarship.
Tangulia mbele dadaShule za serikali zimetelekezwa. Walimu hakuna, maabara hakuna, hata madawati hakuna. Watoto wa viongozi wako shule za binafsi, zenye mazingira mazuri. Wanaoshinda vizuri ni wale waliosoma shule za binafsi au waliokwenda form 5 tokea shule za binafsi.
Ujinga wa wizara imeanza kusomesha watoto walioshinda vizuri nje ya nchi kwa kisingizio cha taaluma fulani. Hizo ni bhla! Bhla! Ni upendeleo kwa wenye nacho. Inatakiwa wanafunzi waandamane kupinga ujinga wa wizara hii. Hakuna sababu ya kusomeshwa nje ya nchi wakati ndani ya nchi tuna vyuo.
Elimu iwekwe sawa ktk shule za serikali. Tusitafute mwanya wa kupendelea kundi moja. Kibaya zaidi Waziri analeta mambo ya enzi ya Elinawinga. Upendeleo wa kikabila umeanza kusikika wizarani ktk kutoa hiyo inayoitwa Samia Scholarship.
Kwa urefu wa kamba yako mkuuKuna wizara za kuchezea ila sio wizara ya elimu sasa tz wizara ile wapo kina wanu hao ndio walio beba vision ya elim ya tz kwa sasa.. Kuna wakati hua nacheka tu nikifikira mawaziri tulio nao kila sekta ni hovyo
Wewe k♡ma una pigo za kifala sana. Sasa kuandika kifaransa hapo cha google translator unataka ku-prove nini?Another stupid contributor!
Es-tu sain d’esprit ? Sais-tu comment la Terre tourne ? Tu dois vraiment manquer de jugeote.
Kwa ujumla wasioona udhaifu wa wizara hii, nao pia ni tatizo. Elimu yetu imekufa, na hakuna msaada. Kuna watu hapa wanatetea kwa sababu waziri ni kabila lao. wanahisi mwenzao anasemwa.Kuna wizara za kuchezea ila sio wizara ya elimu sasa tz wizara ile wapo kina wanu hao ndio walio beba vision ya elim ya tz kwa sasa.. Kuna wakati hua nacheka tu nikifikira mawaziri tulio nao kila sekta ni hovyo