Vijana Arusha kuvaa Diapers/Pampers Ni fashion mpya?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unasemea wapiiii?? Huko wanakochukiwa ni wapiiii? Km unataka kujua kiundani, sema upewe chimbo ukajionee huko

Songea ipi isiyo na mashoga? Kwa taarifa yako sasa Songea ni nyumbani na niko huku sasa hivi.

Mashogaa wapo na wamejaa teleeee. Hunaidanganyi chochoteee. Uliza ilipowekwa msako walikamatwa wangapiiii?? Afu hiyo idadi angalia kwa songea ukubwa wake utaona.

Mashoga wanajiachia LA charlz, chantaburi, afu unakuja hapa unaleta uongo wako, hadi wengine ni ma agent wa bus,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sema hivi kanda ya huku, wengi wanaonekana sana kwenye clubs na pubs, tofauti na mtaani km ilivyo majiji mengi.
 
Tukiwa tunajiburudisha jion ya Leo hapa Arusha - Kona ya Florida nimeshuhudia kijana aliyekaa kaunta pampers aliyovaa ikichomoza Kwa nyuma. Hii Imekaaje, na hii si mara ya Kwanza kushuhudiq haya. Hii Imekaaje?

Bila picha ni unafki, uzandiki, na inawezekana unavaa wewe.
 
Kmashoga hawapendwi tu na mila za Africa. Mm nashauri wazungu waje wawachukue nauli tunalipa
 
Naomba kama upo songea tuonane nina hamu sana na sungura tope mkuu.
 
Naomba kama upo songea tuonane nina hamu sana na sungura tope mkuu.
Mie tayari nimewahiwa, mke wa mtu mie.

Tafuta wako, nenda LA charlz na chantaburi kawindee utawapataa wa kushatoooo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakna namna sasa, itabidi mzoee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hatutaka mpaka tufe.tutatumia kuwasihi kistaarabu muache ila hatutawapiga wala kuwatukana nyinyi ni viumbe wa mungu mnaokosea.ambapo hata sisi tunakosea mengine
 
Tukiwa tunajiburudisha jion ya Leo hapa Arusha - Kona ya Florida nimeshuhudia kijana aliyekaa kaunta pampers aliyovaa ikichomoza Kwa nyuma. Hii Imekaaje, na hii si mara ya Kwanza kushuhudiq haya. Hii Imekaaje?
Umeon mmoja ukahitimisha ni Arusha nzima?
 
Hatutaka mpaka tufe.tutatumia kuwasihi kistaarabu muache ila hatutawapiga wala kuwatukana nyinyi ni viumbe wa mungu mnaokosea.ambapo hata sisi tunakosea mengine
Umemalizaaa, kila mtu apambanee na makosaa yakeee.
Umesha kiri hilo, imeishaaa hiyoooo.

Kila mtu awe anavyotakaaa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…