Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,784
- 13,642
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo muhindi alichachuka mnoo, mbna haiombwii hivyooo, afu kuwa shoga hakuangaliii sura, ni mindset inayotokana na sababu mbali mbali.Siku Moja nilikuwa Pinpoint club iyo iyo mitaa ya Florida,akaangia mwarabu/ muhindi nikiwa nimetulia napiga vitu vyangu,mara nashangaa yule msenge ananiuliza are you mchumba? Nilitamani nimpige chupa yule msenge ,na sura ngumu yote hii niwe shiga Mimi[emoji3][emoji3]kiukweli vijana WA chugga WApo kwenye janga kubwa sana,maana pale Kuna muingiliano mkubwa WA wageni aswa watalii ,Kuna siku bro yangu naye alitaka kumpasua mkenya uko uko chugga kisa izo issue za ushoga
Mkuu, ulikuwa eneo la wahusika.Siku Moja nilikuwa Pinpoint club iyo iyo mitaa ya Florida,akaangia mwarabu/ muhindi nikiwa nimetulia napiga vitu vyangu,mara nashangaa yule msenge ananiuliza are you mchumba? Nilitamani nimpige chupa yule msenge ,na sura ngumu yote hii niwe shiga Mimiππkiukweli vijana WA chugga WApo kwenye janga kubwa sana,maana pale Kuna muingiliano mkubwa WA wageni aswa watalii ,Kuna siku bro yangu naye alitaka kumpasua mkenya uko uko chugga kisa izo issue za ushoga
Aah tukanyongwe?Wapigeni shoka tu
Wanakera sanaAah tukanyongwe?
Acha kabisa...wanajitoa sana ufahamuWanakera sana
Tukiwa tunajiburudisha jion ya Leo hapa Arusha - Kona ya Florida nimeshuhudia kijana aliyekaa kaunta pampers aliyovaa ikichomoza Kwa nyuma. Hii Imekaaje, na hii si mara ya Kwanza kushuhudiq haya. Hii Imekaaje?
Hivi nyanda za juu kusini ndio mbeya ilipo au maana jogirafia ilinioiga chengaπ€π€π€Ukwel usemwe suala la ushoga miji yote mikubwa ni tatizo .nawapongeza sana mikoa ya nyanda za juu kusini wamejitahidi kudhibiti sana