Uchaguzi 2020 Vijana bado wana imani na Magufuli

Uchaguzi 2020 Vijana bado wana imani na Magufuli

Hii inaonesha kuwa hata vijana bado wanaimani na JPM regardless wanaitikadi ya chama gani
Na je hawa?

One Love! One Heart!
Let's get together and feel all right
Hear the children cryin' (One Love!)
Hear the children cryin' (One Heart!)
Sayin': give thanks and praise to the Lord and I will feel all right
Sayin': let's get together and feel all right. Wo wo-wo wo-wo!​
 
Vijana wasiojielewa wa Uvccm kama wewe bila shaka ndiyo uliomaanisha! Ila siyo wale wahitimu wa vyuo waliokosa ajira na wakati huo huo wakiendelea kulimbikiziwa riba kandamizi ya 6% kila mwaka na Bodi ya Mikopo.
 
Hii inaonesha kuwa hata vijana bado wanaimani na JPM regardless wanaitikadi ya chama gani

View attachment 1600640
Niliangalia ngojera za TBC saa mbili, nikaona Raisi wetu, mbona huyu mzee kazeeka ghafra, vipi, nyie mnae muona laivu kazeeka hivo au ndo picha za TBC mbovu yaani anavo onekana JK anakua kama kijana wake wakuzaa
 
Vijana wasiojielewa wa Uvccm kama wewe bila shaka ndiyo uliomaanisha! Ila siyo wale wahitimu wa vyuo waliokosa ajira na wakati huo huo wakiendelea kulimbikiziwa riba kandamizi ya 6% kila mwaka na Bodi ya Mikopo.
Ubongo wako umesinyaa, usimletee chp politics kila mtu
 
Attachments

  • VID-20201015-WA0012.mp4
    13.1 MB
Hii inaonesha kuwa hata vijana bado wanaimani na JPM regardless wanaitikadi ya chama gani

View attachment 1600640
Ikiwemo mm, lazma nimpe kura yangu JPM maana amefanya vitu ambavyo vinaonekana (tangible) na ana hubiri maendeleo zaidi siyo kama lissu ambae kila siku ana hubiri uhuru,haki na usawa kitu ambacho kina mipaka yake la lissu anataka kutudanganya kwamba hakina mipaka
 
Ubongo wako umesinyaa, usimletee chp politics kila mtu
Unafikiri wahenga walikosea kuwaita nyinyi uvccm misukule? Hawakukosea. Niambie ni kijana gani mwenye akili timamu anayeweza kuishabikia CCM! Imemfanyia nini mpaka aishabikie, zaidi tu ya kumuumiza na kumuondolea ndoto zake.

Kama ni hao wasanii wanao wabeba nyakati hizi ngumu mnazopitia, mnawalipa mamilioni ya shilingi. Sera zenu nyingi kuwahusu hao vijana ni za kwenye makaratasi tu.
 
Back
Top Bottom