Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hII POST UNAYOCHANGIA UMEISOMA AU WEWE UNAINGIA MITANDAONI KUJIBU TUUU BILA KUELEWA UNAJIBU NINI?, Unamaana hiyo video clip kwenye main post ni ya babu yako?, wewe siyo kijana, waache vijana wakweli wawanyooshe come 28thUnafikiri wahenga walikosea kuwaita nyinyi uvccm misukule? Hawakukosea. Niambie ni kijana gani mwenye akili timamu anayeweza kuishabikia CCM! Imemfanyia nini mpaka aishabikie, zaidi tu ya kumuumiza na kumuondolea ndoto zake.
Kama ni hao wasanii wanao wabeba nyakati hizi ngumu mnazopitia, mnawalipa mamilioni ya shilingi. Sera zenu nyingi kuwahusu hao vijana ni za kwenye makaratasi tu.
Na lile jiwe kuu la pembeni.................. na yeyote atakayejikwaa kwalo...........Heri mzee mwenye akili ya kitoto kuliko kijana mwenye akili ya kizee.
Naona hao vijana wana ulemavu wa akili, usoni wana onekana kama watoto wadogo lakini akili zao zimeganda
Asante, acha wapumbavu watukane, wenye akili husoma na kupata maarifa.Safiiiiii
Mkuu wakat Mwengine usijisumbue kaundika hivyo, hawatakuelewa hawa
Utaishiwa kutukanwa bure
Huyo uvccm mchumia tumbo, ndo vijana woote?!Hii inaonesha kuwa hata vijana bado wanaimani na JPM regardless wanaitikadi ya chama gani
View attachment 1600640
Hivi ndivyo mmekuwa brainwashed toka huku mkuwaacha viongozi wakifaidi ruzuku, endelea na level hiyohiyo ya kutoelewaHizi ni clip zenye Propaganda toka CCMLumumba.
HUYU KIJANA @30 years amekaririshwa kwa kupewa bk-7 tu hana lolote.
Sina hakika hapo alipo Kama ana AJIRA ya kueleweka na hata Kama anayo Nina hakika hajawahi ongezwa Mshahara 2015~2020 tangu Jiwe awe Rahisi wake.
Graduates wote kuanzia 2015 hawajawahi pata ajira na mbaya zaidi hata wakiamua kufanya UJASIRIAMALI bado Jiwrle ameweka mazingira magumu sana...!!!
changamoto ni kuwa chama anachokinadi hakija onesha taswira njema katika maeneo ya utawala bora, matumizi ya fedha na nidhamu au heshma kwa utu.They dont deserve a single trialKwani TAL mmempa dola akashindwa kuyafanya hayo? Kwa hii mitano tumpatie halafu tufanye hesabu 2025! Hatutajuta na itakuwa mwanzo wa Tanzania ya Watanganyika na sio WADANGANYIKA!
Wewe hukusikia kuwa hata Hussein Mwinyi ni kijana?kwahiyo unasema kuwa huyo siyo kijana?, hawa wenye intonation hiyo hawafai kuwa vijana?
Nafikiri Kanywe chai ulale nduguIkiwemo mm, lazma nimpe kura yangu JPM maana amefanya vitu ambavyo vinaonekana (tangible) na ana hubiri maendeleo zaidi siyo kama lissu ambae kila siku ana hubiri uhuru,haki na usawa kitu ambacho kina mipaka yake la lissu anataka kutudanganya kwamba hakina mipaka