Uchaguzi 2020 Vijana bado wana imani na Magufuli

Uchaguzi 2020 Vijana bado wana imani na Magufuli

Hii habari sijaisoma vzuri Ila nashauri hao bodaboda watengenezewe stand yao ili wavuke vzuri kwa kutumia kivuko
 
Uchaguzi huu utaandika Historia mpya kabisa. JPM atashinda kwa ushindi wa kishindo ambao haujawahi kutokea kwa miaka ya hivi karibuni.
Ni kujipa matumaini tu, hata mwenyewe kasha kata tamaa kasema kuna maeneo hataenda kupiga kampeini...amebakiza karata moja ya kuiba kura......hapo akijichanganya akakisea kupora kura za kutosha anaondoka tu
 
Unajuaje kuwa huhu si employer anayelipa kodi inayowapa employer wako ruzuku na wewe kurushiwa data ya kuja kutukana kila mtu humu?. jifunze kuelewa na kuheshimu wakubwa pia
Hakuna mtz yeyeto anayechakarika anashabikia Utawala huu ulioletea watz ufukara tangu nchi hii iiumbwe hata wakati wa Nyerere huna nafuu,thus macomunist huwa awapewi lesseni za udereva kwa Jamii zinazojielewa.
Ukiona mwanamke anashabikia ccm either ni mama wa nyumbani au anategemea madanga kuishi na si mchakarikaji wa field
 
changamoto ni kuwa chama anachokinadi hakija onesha taswira njema katika maeneo ya utawala bora, matumizi ya fedha na nidhamu au heshma kwa utu.They dont deserve a single trial
kama ndivyo, hebu kumbuka 2015! Ilikuwa Chagua Magufuli au Chagua CCM? Kuwa tu mkweli kwa nafsi yako! so this time around simama na TAL
 
Magufuli amefanya mengi kabla ya 2015:
Alisimamia vyema TANROADS ikaleta mapinduzi katika ujenzi na usimamizi wa barabara.
Alianzisha na kusimia vyema magari ya miradi ikiwemo kuanzisha namaba za magari ya DFP, Polisi na magari mengine ya Serikali,
Alisimamia kwa vitendo rasilimali za uvuvi na mifugo.
Alileta mageuzi makubwa kwenye sekta ya ardhi---- migogoro ya ardhi..

Kwa sasa Tundu anapimwa kwa lipi?

umekiri udhaifu wa chama chake, hongera kwa hilo.

CHAGUA MAGU, CHAGUA CCM
kama ndivyo, hebu kumbuka 2015! Ilikuwa Chagua Magufuli au Chagua CCM? Kuwa tu mkweli kwa nafsi yako! so this time around simama na TAL
 
B
Hakuna mtz yeyeto anayechakarika anashabikia Utawala huu ulioletea watz ufukara tangu nchi hii iiumbwe hata wakati wa Nyerere huna nafuu,thus macomunist huwa awapewi lesseni za udereva kwa Jamii zinazojielewa.
Ukiona mwanamke anashabikia ccm either ni mama wa nyumbani au anategemea madanga kuishi na si mchakarikaji wa field
be careful usijetukana wanaokulisha
 
We leweshwa na umati wa Tundu Lissu ukadhani ataingia ikulu, kwanza ngoja nikukariri jina alafu nitakutafta baad ya october 28
Sawa kabisa.
Screenshot_2020-10-08-23-57-29-1.jpg
 
Kwani TAL mmempa dola akashindwa kuyafanya hayo? Kwa hii mitano tumpatie halafu tufanye hesabu 2025! Hatutajuta na itakuwa mwanzo wa Tanzania ya Watanganyika na sio WADANGANYIKA!
😁😁😁 binafsi simuungi mkono rais wa aina ya Lissu hata kidogo, mm rais mgombea mwenye kimbele mbele kwa wazungu kwamba ndiyo wanatufanya sisi tuendelee sikubaliani nae kabisa, anasema ''Magufuli anawatukana wazungu wakati wao ndiyo wanaofadhili miradi yote ya maendeleo hapa nchini" hoja kam hii haina mashiko yeyote na kibaya zaid Tundu lissu ni muhubiri wa Demokrasia kuliko maendeleo, ndo maana hata bungeni alikuw ampiga kelele sana ila jimboni kwake Ikungi (Singida Mashariki) hakuna alichofanya cha maaana cha maendeleo yanayoonekana
 
Magufuli amefanya mengi kabla ya 2015:
Alisimamia vyema TANROADS ikaleta mapinduzi katika ujenzi na usimamizi wa barabara.
Alianzisha na kusimia vyema magari ya miradi ikiwemo kuanzisha namaba za magari ya DFP, Polisi na magari mengine ya Serikali,
Alisimamia kwa vitendo rasilimali za uvuvi na mifugo.
Alileta mageuzi makubwa kwenye sekta ya ardhi---- migogoro ya ardhi..

Kwa sasa Tundu anapimwa kwa lipi?

umekiri udhaifu wa chama chake, hongera kwa hilo.

CHAGUA MAGU, CHAGUA CCM
Kabla ya 2015 alikuwa kada wa CCM, akapewa u-waziri kwa sababu ya kuwa ki-front! akafanya hayo aliyoyafanya ikiwa ni pamoja na kuuza nyumba za serikali, kubomoa nyumba za wanyonge nk japo alishindwa kubomoa tanesco ubungo!! sasa alipopata kuwa front kikweli akafanya mengi mengi uyajuayo na usioyajua!!Sasa TAL ni lini alipewa majukumu ya Kitaifa akashindwa ku-perform? TAL apewe hii mitano tu, ili tuweze kumpima!! Kama ambavyo 2015 CCmm ilikuwa dhaifu si sio kosa peoples nao kuwa hivyo! Hebu twende na TAL kwa uhuru.....watu
 
Ikiwemo mm, lazma nimpe kura yangu JPM maana amefanya vitu ambavyo vinaonekana (tangible) na ana hubiri maendeleo zaidi siyo kama lissu ambae kila siku ana hubiri uhuru,haki na usawa kitu ambacho kina mipaka yake la lissu anataka kutudanganya kwamba hakina mipaka
Lisu anataka kutudanganya na nani? Labda peke yako kwa Akili zako ndogo ndiyo unaonana Lisu anadanganya lakini wenye Akili timamu wanaelewa maana ya neno HAKI, vitu gani kafanya magufuli? Kafanya kwa pesa zake mwenyewe au pesa za watanzania wote walipa kodi?
 
😁😁😁 binafsi simuungi mkono rais wa aina ya Lissu hata kidogo, mm rais mgombea mwenye kimbele mbele kwa wazungu kwamba ndiyo wanatufanya sisi tuendelee sikubaliani nae kabisa, anasema ''Magufuli anawatukana wazungu wakati wao ndiyo wanaofadhili miradi yote ya maendeleo hapa nchini" hoja kam hii haina mashiko yeyote na kibaya zaid Tundu lissu ni muhubiri wa Demokrasia kuliko maendeleo, ndo maana hata bungeni alikuw ampiga kelele sana ila jimboni kwake Ikungi (Singida Mashariki) hakuna alichofanya cha maaana cha maendeleo yanayoonekana
atafanyaje kama mfuko wa jimbo hana mamlaka nao? na kujipendekeza kwa mawaziri ili walete mafungu jimboni si sawa!!
 
😁😁😁 Hakuna asiyejua kuwa Wafanyakazi wote wa sekta za umma wanamchukia magufuli kwa sababu et hajawaongezea mishahara, sijui kuwapandisha madaraja ila binafsi mm naona chuki zao kwa magufuli ni za kipuuzi tu na hazina msingi, wao wanadhani kwamba wao ndiyo watanzania pekee, wamesahau kwamba zaidi ya asilimia 70 ya watanzania siyo waajiriwa serikali wako huko mashambani wanalima na kifanya biashara ndogo ndogo na wao pia wanamtegemea rais awatengenezee mazingira ya hali zao kiuchumi ziwe bora, lakin wao ( wafanyakazi wa serikali) wenye mishahara wanajiona wao ndiyo watanzania, National cake is for all regardless umesoma au hujasoma, umeajiriw ama hujaaariwa, achen magufuli apige kazi 💪
 
😁😁😁 binafsi simuungi mkono rais wa aina ya Lissu hata kidogo, mm rais mgombea mwenye kimbele mbele kwa wazungu kwamba ndiyo wanatufanya sisi tuendelee sikubaliani nae kabisa, anasema ''Magufuli anawatukana wazungu wakati wao ndiyo wanaofadhili miradi yote ya maendeleo hapa nchini" hoja kam hii haina mashiko yeyote na kibaya zaid Tundu lissu ni muhubiri wa Demokrasia kuliko maendeleo, ndo maana hata bungeni alikuw ampiga kelele sana ila jimboni kwake Ikungi (Singida Mashariki) hakuna alichofanya cha maaana cha maendeleo yanayoonekana
Wewe mwenyewe tayari ni mjinga kwani hujui kuwa kwa wazungu alienda baada nyinyi kumpiga risasi bili upumbavu wenu Lisu mda huu angekuwa anagombea kutetea ubunge wake, mbunge hafanyi maendeleo kwani kazini ya mbuge ni kufikisha kero Bungeni na Lisu alizifikisha zote vyema, kazi ya kutekeleza maendeleo ni ya meya halimashauri kwa kushirikiana na baraza la madiwani na huko ndipo CCM huwahujumu wabunge wa upinzani kisha kuja na kauli za kipumbavu kuwa hawajaleta maendeleo wakati wanahujumiwa na ccm kwa makusudi
 
atafanyaje kama mfuko wa jimbo hana mamlaka nao? na kujipendekeza kwa mawaziri ili walete mafungu jimboni si sawa!!
CCM huwahujumu wapinzani kwa kuzuia maendeleo makusudi kama alivyosema mwenyekiti wa UVCCM
 
Mameya wa ccm wakurugenziccm wa ccm kwa kushirikiana na baadhi ya wakuu wa wilaya mikoa wasiojielewa huwahujumu wabunge wa upinzani kwa makusudi mazima, huzuia kupeleka maendeleo eneo husika wakati wananchi wanalipa kodi na kuchukua pesa za majimbo ya wapinzani kwenda kujengea chato.
 
Back
Top Bottom