Kwani TAL mmempa dola akashindwa kuyafanya hayo? Kwa hii mitano tumpatie halafu tufanye hesabu 2025! Hatutajuta na itakuwa mwanzo wa Tanzania ya Watanganyika na sio WADANGANYIKA!Ikiwemo mm, lazma nimpe kura yangu JPM maana amefanya vitu ambavyo vinaonekana (tangible) na ana hubiri maendeleo zaidi siyo kama lissu ambae kila siku ana hubiri uhuru,haki na usawa kitu ambacho kina mipaka yake la lissu anataka kutudanganya kwamba hakina mipaka