Sozo_
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 3,248
- 6,146
Tunaamini kila kitu pesa inaweza kuleta suluhishoWenye busara wanasema... shimo likianza kuwa refu, acha kuchima

Malipo ya huyu kijana ni lako 6 unusu tuVijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia Umoja wa Vijana wa Chama hicho (BAVICHA) Mkoa wa Pwani wamemtaka Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa, Mheshimiwa John Heche, kupisha uchunguzi unaohusiana na tuhuma zinazomkabili ambazo zimekuwa zikijadiliwa katika mitandao ya kijamii.
Akizungumza kwa niaba ya vijana wa BAVICHA Mkoa wa Pwani, Katibu wa BAVICHA Mkoa huo, Ndugu Ramadhan Mwaja, alisema hatua hiyo itazipa mamlaka husika nafasi ya kufanya uchunguzi kwa uhuru ili ukweli ubainike.
"Lengo letu si kumhukumu mtu yeyote, bali ni kukinusuru Chama. Tunataka mamlaka zifanye kazi yake, na mwisho wa uchunguzi ukweli ujulikane," alisema.
Ramadhan alisema endapo hatua hiyo haitachukuliwa, Chama kinaweza kuendelea kukabiliwa na maswali kutoka kwa wanachama na wananchi kuhusu tuhuma hizo, jambo ambalo linaweza kuathiri taswira yake.
Aidha, alisema wakati wa uchaguzi kulikuwa na ahadi kwamba fedha za ujenzi wa Chama zingeshushwa hadi ngazi ya majimbo kila mwezi ili kuimarisha shughuli za Chama. Hata hivyo, alidai kuwa hadi sasa fedha hizo hazijawafikia viongozi wa majimbo kama ilivyoahidiwa.
"Nikiwa Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Pwani, nimekuwa nikipokea maswali mengi kutoka kwa viongozi na wanachama kuhusu fedha hizo, lakini hatuna majibu ya kutoa. Hali hiyo inaleta sintofahamu na kuathiri utekelezaji wa shughuli za Chama," alisema.
Aliongeza kuwa iwapo kutakuwa na changamoto katika utekelezaji wa ahadi hiyo, ni muhimu uongozi wa Chama utoe maelezo ya wazi kwa wanachama ili kuondoa mashaka yaliyopo.
Tamko hilo limetolewa na vijana wa BAVICHA Mkoa wa Pwani wakisema linalenga kuimarisha misingi ya uwazi, uwajibikaji na uadilifu ndani ya Chama, huku wakisisitiza kuwa ukweli kuhusu tuhuma zinazojadiliwa unapaswa kubainishwa kupitia uchunguzi wa mamlaka husika.
Soma Pia:
Mkuu wewe hujalambishwa mpunga wa Abdul?Tuliwaonya sana akina Heche na Lissu juu ya fitina zile za kipindi cha uchaguzi!! Sasa yanawarudia wao
Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia Umoja wa Vijana wa Chama hicho (BAVICHA) Mkoa wa Pwani wamemtaka Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa, Mheshimiwa John Heche, kupisha uchunguzi unaohusiana na tuhuma zinazomkabili ambazo zimekuwa zikijadiliwa katika mitandao ya kijamii.
Akizungumza kwa niaba ya vijana wa BAVICHA Mkoa wa Pwani, Katibu wa BAVICHA Mkoa huo, Ndugu Ramadhan Mwaja, alisema hatua hiyo itazipa mamlaka husika nafasi ya kufanya uchunguzi kwa uhuru ili ukweli ubainike.
"Lengo letu si kumhukumu mtu yeyote, bali ni kukinusuru Chama. Tunataka mamlaka zifanye kazi yake, na mwisho wa uchunguzi ukweli ujulikane," alisema.
Ramadhan alisema endapo hatua hiyo haitachukuliwa, Chama kinaweza kuendelea kukabiliwa na maswali kutoka kwa wanachama na wananchi kuhusu tuhuma hizo, jambo ambalo linaweza kuathiri taswira yake.
Aidha, alisema wakati wa uchaguzi kulikuwa na ahadi kwamba fedha za ujenzi wa Chama zingeshushwa hadi ngazi ya majimbo kila mwezi ili kuimarisha shughuli za Chama. Hata hivyo, alidai kuwa hadi sasa fedha hizo hazijawafikia viongozi wa majimbo kama ilivyoahidiwa.
"Nikiwa Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Pwani, nimekuwa nikipokea maswali mengi kutoka kwa viongozi na wanachama kuhusu fedha hizo, lakini hatuna majibu ya kutoa. Hali hiyo inaleta sintofahamu na kuathiri utekelezaji wa shughuli za Chama," alisema.
Aliongeza kuwa iwapo kutakuwa na changamoto katika utekelezaji wa ahadi hiyo, ni muhimu uongozi wa Chama utoe maelezo ya wazi kwa wanachama ili kuondoa mashaka yaliyopo.
Tamko hilo limetolewa na vijana wa BAVICHA Mkoa wa Pwani wakisema linalenga kuimarisha misingi ya uwazi, uwajibikaji na uadilifu ndani ya Chama, huku wakisisitiza kuwa ukweli kuhusu tuhuma zinazojadiliwa unapaswa kubainishwa kupitia uchunguzi wa mamlaka husika.
Soma Pia:
Na hamtashinda kwa fitina zenu. Huyo sio Kiongozi wa BAVICHA Pwani Wala sio Kiongozi popote. Viongozi wa BAVICHA wanajulikana.Tuliwaonya sana akina Heche na Lissu juu ya fitina zile za kipindi cha uchaguzi!! Sasa yanawarudia wao
Huwezi kuomba michango kila siku, Chadema wanahitaji michango kwa ajili ya mambo wanayoona yanawagusa wananchi moja kwa moja.Ni ahadi iliyotolewa na uongozi ulio madarakani. Mapato ya Chama hayatokani na ruzuku peke yake. Kuna ada, michango ya wananchi n.k. Uongozi ulipaswa kuwaambia viongozi wao wa chini kwa nini ahadi hiyo haitekelezeki kwa sasa. Ndio umuhimu wa uwazi katika taarifa za makusanyo na matumizi ya chama.
Amandla...
Lini kulikuwa na mkutano wa Bavicha Pwani na kutoa tamko hilo.Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia Umoja wa Vijana wa Chama hicho (BAVICHA) Mkoa wa Pwani wamemtaka Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa, Mheshimiwa John Heche, kupisha uchunguzi unaohusiana na tuhuma zinazomkabili ambazo zimekuwa zikijadiliwa katika mitandao ya kijamii.
Akizungumza kwa niaba ya vijana wa BAVICHA Mkoa wa Pwani, Katibu wa BAVICHA Mkoa huo, Ndugu Ramadhan Mwaja, alisema hatua hiyo itazipa mamlaka husika nafasi ya kufanya uchunguzi kwa uhuru ili ukweli ubainike.
"Lengo letu si kumhukumu mtu yeyote, bali ni kukinusuru Chama. Tunataka mamlaka zifanye kazi yake, na mwisho wa uchunguzi ukweli ujulikane," alisema.
Ramadhan alisema endapo hatua hiyo haitachukuliwa, Chama kinaweza kuendelea kukabiliwa na maswali kutoka kwa wanachama na wananchi kuhusu tuhuma hizo, jambo ambalo linaweza kuathiri taswira yake.
Aidha, alisema wakati wa uchaguzi kulikuwa na ahadi kwamba fedha za ujenzi wa Chama zingeshushwa hadi ngazi ya majimbo kila mwezi ili kuimarisha shughuli za Chama. Hata hivyo, alidai kuwa hadi sasa fedha hizo hazijawafikia viongozi wa majimbo kama ilivyoahidiwa.
"Nikiwa Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Pwani, nimekuwa nikipokea maswali mengi kutoka kwa viongozi na wanachama kuhusu fedha hizo, lakini hatuna majibu ya kutoa. Hali hiyo inaleta sintofahamu na kuathiri utekelezaji wa shughuli za Chama," alisema.
Aliongeza kuwa iwapo kutakuwa na changamoto katika utekelezaji wa ahadi hiyo, ni muhimu uongozi wa Chama utoe maelezo ya wazi kwa wanachama ili kuondoa mashaka yaliyopo.
Tamko hilo limetolewa na vijana wa BAVICHA Mkoa wa Pwani wakisema linalenga kuimarisha misingi ya uwazi, uwajibikaji na uadilifu ndani ya Chama, huku wakisisitiza kuwa ukweli kuhusu tuhuma zinazojadiliwa unapaswa kubainishwa kupitia uchunguzi wa mamlaka husika.
Soma Pia:
Huo usiri kuhusu mapato na matumizi ndio unafungua mlango kwa shutuma kama zinazoelekezwa kwa Heche. Lugha ya kujiongeza mara nyingi inatumika kukwepa majukumu. Kiongozi yeyote wa chama anapaswa kujua ( sio kukisia) kuhusu mapato na matumizi ya chama. Bila shaka wakijua kwa uhakika hawatalamika hadharani bali watajituma zaidi kuchangia na kuwahimiza wanachama wengine kukichangia. Usiri hauna faida yeyote bali kukaribisha fitna na majukumu. Kukataa kuhojiwa ndio kunachochea moto zaidi.Huwezi kuomba michango kila siku, Chadema wanahitaji michango kwa ajili ya mambo wanayoona yanawagusa wananchi moja kwa moja.
Mfano, michango ya "tone tone" ilisaidia chama kuwafikia wanachama na watanzania kwa ujumla kupitia mikutano ya hadhara, ile nayo ilitosha kwa wakati ule kukiimarisha chama mpaka ngazi za chini.
Kiongozi wa kweli lazima ajifunze kujiongeza kulingana na hali halisi, sio kusubiri kuambiwa kila kitu na uongozi.
Lakini kwanza jibuni hoja yao. Kama ambavyo Lissu alivyomtaka Mbowe ajibu shutma za Msigwa.Kuna maswali lukuki ya kuwauliza watu hao.
Siri itoke wapi kwa michango ipi?Huo usiri kuhusu mapato na matumizi ndio unafungua mlango kwa shutuma kama zinazoelekezwa kwa Heche. Lugha ya kujiongeza mara nyingi inatumika kukwepa majukumu. Kiongozi yeyote wa chama anapaswa kujua ( sio kukisia) kuhusu mapato na matumizi ya chama. Bila shaka wakijua kwa uhakika hawatalamika hadharani bali watajituma zaidi kuchangia na kuwahimiza wanachama wengine kukichangia. Usiri hauna faida yeyote bali kukaribisha fitna na majukumu. Kukataa kuhojiwa ndio kunachochea moto zaidi.
Amandla...
Michango wanayochangisha katika mikutano ya hadhara. Michango wanaochangiwa moja kwa moja na wadawa wa ndani na nje. Mapato yanayotokana na ada za uanachama. Ruzuku walizoisha lipwa. Na sio mapato tu. Matumizi pia. Kiasi gani kinaenda kwenye overheads. Kiasi gani ni gharama za kuendesha mikutano ya hadhara n.k.Siri itoke wapi kwa michango ipi?