Vijana BAVICHA Pwani wamtaka John Heche apishe uchunguzi

Tuliwaonya sana akina Heche na Lissu juu ya fitina zile za kipindi cha uchaguzi!! Sasa yanawarudia wao
 
Malipo ya huyu kijana ni lako 6 unusu tu
 
 
Tuliwaonya sana akina Heche na Lissu juu ya fitina zile za kipindi cha uchaguzi!! Sasa yanawarudia wao
Na hamtashinda kwa fitina zenu. Huyo sio Kiongozi wa BAVICHA Pwani Wala sio Kiongozi popote. Viongozi wa BAVICHA wanajulikana.
 
Huwezi kuomba michango kila siku, Chadema wanahitaji michango kwa ajili ya mambo wanayoona yanawagusa wananchi moja kwa moja.

Mfano, michango ya "tone tone" ilisaidia chama kuwafikia wanachama na watanzania kwa ujumla kupitia mikutano ya hadhara, ile nayo ilitosha kwa wakati ule kukiimarisha chama mpaka ngazi za chini.

Kiongozi wa kweli lazima ajifunze kujiongeza kulingana na hali halisi, sio kusubiri kuambiwa kila kitu na uongozi.
 
Lini kulikuwa na mkutano wa Bavicha Pwani na kutoa tamko hilo.
Nimeangalia orodha ya viongozi na wanachama wa Bavicha ,Pwani hakuna jina lake labda tuangalie UVCCM.
 
Huo usiri kuhusu mapato na matumizi ndio unafungua mlango kwa shutuma kama zinazoelekezwa kwa Heche. Lugha ya kujiongeza mara nyingi inatumika kukwepa majukumu. Kiongozi yeyote wa chama anapaswa kujua ( sio kukisia) kuhusu mapato na matumizi ya chama. Bila shaka wakijua kwa uhakika hawatalamika hadharani bali watajituma zaidi kuchangia na kuwahimiza wanachama wengine kukichangia. Usiri hauna faida yeyote bali kukaribisha fitna na majukumu. Kukataa kuhojiwa ndio kunachochea moto zaidi.

Amandla...
 
Siri itoke wapi kwa michango ipi?
 
Siri itoke wapi kwa michango ipi?
Michango wanayochangisha katika mikutano ya hadhara. Michango wanaochangiwa moja kwa moja na wadawa wa ndani na nje. Mapato yanayotokana na ada za uanachama. Ruzuku walizoisha lipwa. Na sio mapato tu. Matumizi pia. Kiasi gani kinaenda kwenye overheads. Kiasi gani ni gharama za kuendesha mikutano ya hadhara n.k.

Amandla...
 
Hii serikali inayoongozwa na kiazi inatapa tapa sana kujikosha kwa wananchi kusudi ikubalike, iko tayari kutumia mabilioni kuandaa drama mbalimbali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…