[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kumbe kuna wanoolewa kwa sababu wanatia huruma?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaaa, mkuu unataka kunitunukia ndoa nini? Sitaki kujifunga Kwa jibu langu [emoji30] [emoji30] ,nisijesema sina kumbe unahitaji mwenye mtotooVipi mkuu unae mtoto?
Hahaha wewe sema tu hali yako halisi kama unae au hauna halafu mimi nitaamua nifanyaje ila usidanganye...Hahaaa, mkuu unataka kunitunukia ndoa nini? Sitaki kujifunga Kwa jibu langu [emoji30] [emoji30] ,nisijesema sina kumbe unahitaji mwenye mtotoo
Kweli babe, mbona wewe ulinioa nikiwa na watoto 3 na tuko fresh tu miaka inaendaa[emoji3] [emoji3]
Aisee, nna watoto 0 mkuu, nipe deal hilo sasa....Hahaha wewe sema tu hali yako halisi kama unae au hauna halafu mimi nitaamua nifanyaje ila usidanganye...
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ,umenifurahisha mno babe wangu kichwa, ila nilikusafisha kichwa kikawa kisafi(avatar) mara paap umerudia hali yako ya uchafu jamani.Hapo sasa nikimpa mkasa mzima hapa wa penzi letu zito anaweza kufuta uzi.
Wakati kuna wengine wameoa mwanamke hata mwanaume hamjui(bk) lakini mwanamke kawa kware hafugiki[emoji23][emoji23][emoji23]
Njoo nikusebenze PM huku tupeane matarakimu tuyajenge ila sio mambo yanakua moto tunaanza kufunguliana thread ya 7800Tshs na T-shirt ya taifa starsAisee, nna watoto 0 mkuu, nipe deal hilo sasa....
Duh sikutegemeaMwanamke akishazalishwa hapaswi olewa. Huyo akae tu kwa kiburudisho.
Kwa waliofiwa nao wakae watulie
Wanawake wengi hivi kila mwaka batch mpya inaingia mjini tena mara 3 kwa mwaka afu unakimbizana na waliozalishwa
Kuna Darasa la Saba
Form 4
Form 6
Na
Wasisoma
Hahaaaa, nyie ndyo hamchelewi kuanzisha hizo thread tena safari hii inaweza kuwa thread ya 3100/=[emoji3] [emoji3] , naogopa mimiiNjoo nikusebenze PM huku tupeane matarakimu tuyajenge ila sio mambo yanakua moto tunaanza kufunguliana thread ya 7800Tshs na T-shirt ya taifa stars
Dunia hii...Pia unaweza ukaoa asiye kati ya hayo makundi na msidumu vile vile, nadhani ni kuomba Mungu tu umpate mtu sahihi ,unaweza pata aliyezaa na mkadumu yaani mkaenda fresh sana tu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ,umenifurahisha mno babe wangu kichwa, ila nilikusafisha kichwa kikawa kisafi(avatar) mara paap umerudia hali yako ya uchafu jamani.
Hayo manung'uniko sasa mkuu[emoji3] nadhani inawezekana kabisa Mungu alikupangia uwe na fulani lakini kutokana na harakati za maisha ujana huyo mwenzio akapata mtoto huko, ila utaona tu ukiwa na huyo single mom unakua na amani na upendo unaongezeka zaidi kuliko hata ukiwa na vibinti vingine,Dunia hii...
Yan Mungu akupe mke wako awe tayr kashazaa na mwanaume mwingine? Kwamba alikupangia uje uishi na single mama kwenye ndoa?