Vijana! Epuka kuingia katika vifungo vya ndoa, na makundi haya 3 ya wanawake

Kwanini single mother wengi wanatabia ya kuwachukia mzazi mwenza??? Ingawaje wengi humu jf mnasema kunakuwa na chansi kubwa ya kupasha kiporo??
 
Kuwa mwanamke ni changamoto. .....acha niishie hapa
 
Hapo sasa nikimpa mkasa mzima hapa wa penzi letu zito anaweza kufuta uzi.


Wakati kuna wengine wameoa mwanamke hata mwanaume hamjui(bk) lakini mwanamke kawa kware hafugiki[emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli babe, mbona wewe ulinioa nikiwa na watoto 3 na tuko fresh tu miaka inaendaa[emoji3] [emoji3]
 
Hapo sasa nikimpa mkasa mzima hapa wa penzi letu zito anaweza kufuta uzi.


Wakati kuna wengine wameoa mwanamke hata mwanaume hamjui(bk) lakini mwanamke kawa kware hafugiki[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ,umenifurahisha mno babe wangu kichwa, ila nilikusafisha kichwa kikawa kisafi(avatar) mara paap umerudia hali yako ya uchafu jamani.
 
Sawa tumekusikia ila hayo makundi yote kwaasilimia kubwa yanaangukia single mother. So tumekuelewa tusioe masingle mother.
 
Kila siku mnasema hakuna anaeweza kuwajua wanawake kwa undani, sasa mkuu haya umeyajuaje.

Maisha hayana formula mkuu. Acha kukariri.

Yule binti aliyepigwa risasi tatu za kichwa na mpenzi wake mlinzi wa Takukuru yupo katika kundi gani hapo? Si alikuwa msafi kabisa yule kabla?
 
Tena wengi kipindi hichi ndo wanatia huruma[emoji2][emoji2]
 
Duh sikutegemea
 
Njoo nikusebenze PM huku tupeane matarakimu tuyajenge ila sio mambo yanakua moto tunaanza kufunguliana thread ya 7800Tshs na T-shirt ya taifa stars
Hahaaaa, nyie ndyo hamchelewi kuanzisha hizo thread tena safari hii inaweza kuwa thread ya 3100/=[emoji3] [emoji3] , naogopa mimii
 
[emoji23][emoji23][emoji23]apo kwa wanaotia huruma pamenifurahisha kweliiii
 
Pia unaweza ukaoa asiye kati ya hayo makundi na msidumu vile vile, nadhani ni kuomba Mungu tu umpate mtu sahihi ,unaweza pata aliyezaa na mkadumu yaani mkaenda fresh sana tu.
Dunia hii...

Yan Mungu akupe mke wako awe tayr kashazaa na mwanaume mwingine? Kwamba alikupangia uje uishi na single mama kwenye ndoa?
 
Dunia hii...

Yan Mungu akupe mke wako awe tayr kashazaa na mwanaume mwingine? Kwamba alikupangia uje uishi na single mama kwenye ndoa?
Hayo manung'uniko sasa mkuu[emoji3] nadhani inawezekana kabisa Mungu alikupangia uwe na fulani lakini kutokana na harakati za maisha ujana huyo mwenzio akapata mtoto huko, ila utaona tu ukiwa na huyo single mom unakua na amani na upendo unaongezeka zaidi kuliko hata ukiwa na vibinti vingine,

Pamoja na kuwa single mamas ila tunabaki kuwa viumbe wa Mungu mkuu, si unajua husamehe makosa eeh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…