Vijana! Epuka kuingia katika vifungo vya ndoa, na makundi haya 3 ya wanawake

sikupingi
 
Unaoa Mwanamke Mwenye Mtoto.

Halafu Jamaa Lililomzalisha Linapita Hapo Hapo Mtaani Kwako Huku LIKIJIMWAMBAFAI.
 
Kumbe kuna wanoolewa kwa sababu wanatia huruma?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

NDIYO:

Kwa mifano michache ya ‘maserebriti’ wetu tumtazame Wastara na Lulu, hawa mmoja aliolewa na mwingine almanusra aolewe kwa kuhurumiwa tu.... kwa maelezo zaidi bonyeza Majizzo.
 
Ni wasiwasi wako tu juu ya imani ulizonazo, wapo wa kuolewa fresh lakin matatizo matupu, tatizo sio singo maza, sjui mtalaka wala mjane, issue kubwa ni tabia na akili ya mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…