Mimi kwa kwel namshukuru mama yangu , Angetoa mimba yangu sijui ningejulia wapi utamu wa pombe🤔Mi ninachojua hakuna atakayebakia...tuishi tutakavyo ilimradi hatuumizi wengine
Bwashee unataka kunfwata dogooo unajua ukihudhuria uchelewi kubeba maspirit mwenyewe nawaza kutoa mchango tuMazishi ni wapi ? Tuje tipate Bia bwashee🤔
Khaaaa....Mazishi ni wapi ? Tuje tupate Bia za kumuuaga bwashee🤔?
Hongera mkuuMimi kwa kwel namshukuru mama yangu , Angetoa mimba yangu sijui ningejulia wapi utamu wa pombe🤔
😂😂😂Aisee🙌Na kwanini uende mbinguni/jehanamu na figo nzima
Kabisa hiyo apple punch inaweza kukukaba na ukafa , kifo hakikimbiwi kiboya hivyo.Ukinywa apple punch ndo haufi? Acha basi pombe inasingiziwa
Kabisa kupelekea siafu figo nzima si uungwana kabisaNa kwanini uende mbinguni/jehanamu na figo nzima
Mkuu m nimeona madhara yake kwenye ukoo wetu yaan nikinywa bar nalipa idadi yangu. Nakaa mbali na counter..ukoowetu ukigusa moja tumboni kama tbl imewashwa hukondan agiza nikuagize loh imeua wengi sanaMi ninachojua hakuna atakayebakia...tuishi tutakavyo ilimradi hatuumizi wengine
Maadamu mtu ajiumize mwenyewe tu au sio🤣🤣Mi ninachojua hakuna atakayebakia...tuishi tutakavyo ilimradi hatuumizi wengine
Hahhaha acha wewe bwashee , ukoo wetu wote wanakunywa na mtu akifa Mapema ni 90.Mkuu m nimeona madhara yake kwenye ukoo wetu yaan nikinywa bar nalipa idadi yangu. Nakaa mbali na counter..ukoowetu ukigusa moja tumboni kama tbl imewashwa hukondan agiza nikuagize loh imeua wengi sana
Kuna maji.Mazishi ni wapi ? Tuje tupate Bia za kumuuaga bwashee🤔?