To yeye
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 20,518
- 38,854
Ni sahihi mkuu,sa itakuwaje?Gharama za matibabu ndo zinazoumiza ndugu na jamaa.
Ni sahihi mkuu,sa itakuwaje?Gharama za matibabu ndo zinazoumiza ndugu na jamaa.
Acha kunywa gongo mkuu, haina faida yoyoteNi sahihi mkuu,sa itakuwaje?
Sawa mkuuAcha kunywa gongo mkuu, haina faida yoyote
Unadanganya wewe 😅
Pole na msiba Pdidy, apumzike salama Richie.Nusu saa iliyopita tumempoteza Mr Richard, ndugu wa karibu kabisa.
Wakati namshauri miaka hiyo mjomba kupunguza mambo, yetu yanauWa, ilikuwa ngumu sana kuelewa.
Baada ya miaka kadhaa, ndugu alianza kuumwa, baadaye wakakuta figo inashida.
Ilipofikia, haikuwa habari njema kwa familia.
Hatimaye amenda, amelala mchana huu.
Ushauri:
Hatukatai kunywa. Kunywenyi kwa furaha, sio kulewa mpaka upate magonjwa.
Pumzika kwa amani, br. Raha ya milele akupee, ee bwana. Mwanga wa milele umwangazie.
Upumzike kwa amani. Amen.
Kweli kabisa mda ukifika hakuna namna, kila nafisi ita onja mauti ndugu yangu.Mi ninachojua hakuna atakayebakia...tuishi tutakavyo ilimradi hatuumizi wengine