LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 29,814
- 47,414
mjuba lini umeanza kutukana?Ushauri wa kijinga
mjuba lini umeanza kutukana?Ushauri wa kijinga
Afadhali ameepukana na uchaguzi kama chadema.Nusu saa iliyopita tumempoteza Mr Richard, ndugu wa karibu kabisa.
Wakati namshauri miaka hiyo mjomba kupunguza mambo, yetu yanauWa, ilikuwa ngumu sana kuelewa.
Baada ya miaka kadhaa, ndugu alianza kuumwa, baadaye wakakuta figo inashida.
Ilipofikia, haikuwa habari njema kwa familia.
Hatimaye amenda, amelala mchana huu.
Ushauri:
Hatukatai kunywa. Kunywenyi kwa furaha, sio kulewa mpaka upate magonjwa.
Pumzika kwa amani, br. Raha ya milele akupee, ee bwana. Mwanga wa milele umwangazie.
Upumzike kwa amani. Amen.
Nani yako?Nusu saa iliyopita tumempoteza Mr Richard, ndugu wa karibu kabisa.
Wakati namshauri miaka hiyo mjomba kupunguza mambo, yetu yanauWa, ilikuwa ngumu sana kuelewa.
Baada ya miaka kadhaa, ndugu alianza kuumwa, baadaye wakakuta figo inashida.
Ilipofikia, haikuwa habari njema kwa familia.
Hatimaye amenda, amelala mchana huu.
Ushauri:
Hatukatai kunywa. Kunywenyi kwa furaha, sio kulewa mpaka upate magonjwa.
Pumzika kwa amani, br. Raha ya milele akupee, ee bwana. Mwanga wa milele umwangazie.
Upumzike kwa amani. Amen.
Mbaya zaidi hawashaurikiNusu saa iliyopita tumempoteza Mr Richard, ndugu wa karibu kabisa.
Wakati namshauri miaka hiyo mjomba kupunguza mambo, yetu yanauWa, ilikuwa ngumu sana kuelewa.
Baada ya miaka kadhaa, ndugu alianza kuumwa, baadaye wakakuta figo inashida.
Ilipofikia, haikuwa habari njema kwa familia.
Hatimaye amenda, amelala mchana huu.
Ushauri:
Hatukatai kunywa. Kunywenyi kwa furaha, sio kulewa mpaka upate magonjwa.
Pumzika kwa amani, br. Raha ya milele akupee, ee bwana. Mwanga wa milele umwangazie.
Upumzike kwa amani. Amen.
Akawalingishie peponi😆Na kwanini uende mbinguni/jehanamu na figo nzima
na upo tayari kuhatarisha afya yako, huoni kama utaiacha katika mikono si salama.Yeah
Mimi huwa sinywi mkuu.😅😅 bro ni lini umeanza kunywa bwashee?
Wakati kule mumeambiwa mutapewa miili mipyaNa kwanini uende mbinguni/jehanamu na figo nzima
mimi nimezika Leo njombe dogo alikuwa anapiga sana pombe Kali aka visungura dogo maini yaliharibikA sana.Nusu saa iliyopita tumempoteza Mr Richard, ndugu wa karibu kabisa.
Wakati namshauri miaka hiyo mjomba kupunguza mambo, yetu yanauWa, ilikuwa ngumu sana kuelewa.
Baada ya miaka kadhaa, ndugu alianza kuumwa, baadaye wakakuta figo inashida.
Ilipofikia, haikuwa habari njema kwa familia.
Hatimaye amenda, amelala mchana huu.
Ushauri:
Hatukatai kunywa. Kunywenyi kwa furaha, sio kulewa mpaka upate magonjwa.
Pumzika kwa amani, br. Raha ya milele akupee, ee bwana. Mwanga wa milele umwangazie.
Upumzike kwa amani. Amen.
Kama.mwamba Sema shida moja yeye ana uwezo ila akikaa na kampani ya wine atakunywa wine akikaa na wa vizungura hata awe na million atakunywa vizsunguramimi nimezika Leo njombe dogo alikuwa anapiga sana pombe Kali aka visungura dogo maini yaliharibikA sana.
Hapana mkuu, ukiwa na hizo Pressure na ndugu zake, ndiyo huwa zinaenda kuathiri organs mbalimbali za mwili kama Ubongo, Figo, Ini, Macho, Moyo nk.Mkuu figoo ikianza yake yanayofwatia na hayoo
Sukari
Pressure nk
N Mungu tu atusaidie
aisee hatari sanaKama.mwamba Sema shida moja yeye ana uwezo ila akikaa na kampani ya wine atakunywa wine akikaa na wa vizungura hata awe na million atakunywa vizsungura
Tunabaki kushangaa huu mtambo wakutest vinjmywaji ama.lah
Situmii pombe mkuuna upo tayari kuhatarisha afya yako, huoni kama utaiacha katika mikono si salama.
Ishu za Figo nyingi ni urithi...Mkuu figoo ikianza yake yanayofwatia na hayoo
Sukari
Pressure nk
N Mungu tu atusaidie
90% ya pombe Kali sokoni ni Fake.Vinywaji na vyakula vingi vimechakachuliwa kikemikali, havina ubora ule wa kumlinda mlaji, ndio maana huu ugonjwa kwa sasa umeshamiri.
Gharama za matibabu ndo zinazoumiza ndugu na jamaa.Mi ninachojua hakuna atakayebakia...tuishi tutakavyo ilimradi hatuumizi wengine