min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Maji mimi ni mbuzi?Kuna maji.
Maji mimi ni mbuzi?Kuna maji.
Hahaha tatizo mnakunywa sumu mnazingizia bia sasa balimi nayo ni bia🚮Bwashee unataka kunfwata dogooo unajua ukihudhuria uchelewi kubeba maspirit mwenyewe nawaza kutoa mchango tu
Sisi tubaki na idadi zetuu bwashee ukisikia unaharishq unaacha hata bia xilizo kwa Meza loh.....
Kabisa sio nzuri kwenuUsiitumie mkuu,pombe si nzuri kwetu ila kwa wengine ni nzuri
😅😅 bro ni lini umeanza kunywa bwashee?🎶🔊Jamani nataka niseme...
Wahuni nataka nisemee...
Wanangu nataka nisemee...
🎵Semaaaa.....🔊
Mwenzenu Bia 🍺 silewi, nileteeni Double kick..!!🎶
Sio kweli kifo kinaweza kukupata mda wowote ,utakufa. Na pombe utaiacha maelfu ya miaka😀😀😀 ngoja uingie hospital utatamani ata lisaa la kua mzima wa afya
![]()
Kama bado upo kwenye ujana, jitahidi sana kufanya mazoezi
kwa wale ambao bado mko chini ya 40, fanya vyote ila mazoezi usisahau! naongea ivi kwa huzuni baada ya kushuhudia watu wana magonjwa ambayo hospitali wanasema hauna dawa, pia issue ya kisukari ni kubwa sana usisubiri mpaka magazeti yaanze kuandikawww.jamiiforums.com
Bodaboda1.ENERGY DRINKS
2.POMBE
3.ENEJI DRINKIS UKICHANGANYA NANPOMBE=KUKAANGA FIGO KABISA.
Tuna vipindi vitatu vya maisha kuzaliwa ,kuishi na kufa so every body ataondoka kwa njia yake aliochoose so ata husipo kunywa pombe kufa ni pale pale no way out....no one know tommorowNusu saa iliyopita tumempoteza Mr Richard, ndugu wa karibu kabisa.
Wakati namshauri miaka hiyo mjomba kupunguza mambo, yetu yanauWa, ilikuwa ngumu sana kuelewa.
Baada ya miaka kadhaa, ndugu alianza kuumwa, baadaye wakakuta figo inashida.
Ilipofikia, haikuwa habari njema kwa familia.
Hatimaye amenda, amelala mchana huu.
Ushauri:
Hatukatai kunywa. Kunywenyi kwa furaha, sio kulewa mpaka upate magonjwa.
Pumzika kwa amani, br. Raha ya milele akupee, ee bwana. Mwanga wa milele umwangazie.
Upumzike kwa amani. Amen.
Kijana anaepuka pombe halafu unakuta kajibinua kwenye boda boda 😅Tuna vipindi vitatu vya maisha kuzaliwa ,kuishi na kufa so every body ataondoka kwa njia yake aliochoose so ata husipo kunywa pombe kufa ni pale pale no way out....no one know tommorow
mjuba kunywa togwa, pombe utadanja mapema uache demu wako aje achakatwe na wengine bureUkinywa apple punch ndo haufi? Acha basi, pombe inasingiziwa tu.
Nikifa MkeWangu Asiolewemjuba kunywa togwa, pombe utadanja mapema uache demu wako aje achakatwe na wengine bure
Ushauri wa kijingamjuba kunywa togwa, pombe utadanja mapema uache demu wako aje achakatwe na wengine bure
Sokomoko katika 1&2 🤣Mazishi ni wapi ? Tuje tupate Bia za kumuuaga bwashee🤔?