min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Kwamba mimi sokomoko anjela 🤣🤣🤣 ngoja siku ukutane na mimi utakavyokula kucha kwa aibu😅Sokomoko katika 1&2 🤣
Kwamba mimi sokomoko anjela 🤣🤣🤣 ngoja siku ukutane na mimi utakavyokula kucha kwa aibu😅Sokomoko katika 1&2 🤣
Sokomoko masaa 24 anawaza pombe tu 🤣.....Kwamba mimi sokomoko anjela 🤣🤣🤣 ngoja siku ukutane na mimi utakavyokula kucha kwa aibu😅
Hahahaha , siku sokomoko atakosa pesa ya kunywa jua kafa😅Sokomoko masaa 24 anawaza pombe tu 🤣.....
Sijui kazi anafanya saa ngapi ya kupatia hela ya kunywa.
Unavyoogopa kifo hadi umeandika vizuri leo.Nusu saa iliyopita tumempoteza Mr Richard, ndugu wa karibu kabisa.
Wakati namshauri miaka hiyo mjomba kupunguza mambo, yetu yanauWa, ilikuwa ngumu sana kuelewa.
Baada ya miaka kadhaa, ndugu alianza kuumwa, baadaye wakakuta figo inashida.
Ilipofikia, haikuwa habari njema kwa familia.
Hatimaye amenda, amelala mchana huu.
Ushauri:
Hatukatai kunywa. Kunywenyi kwa furaha, sio kulewa mpaka upate magonjwa.
Pumzika kwa amani, br. Raha ya milele akupee, ee bwana. Mwanga wa milele umwangazie.
Upumzike kwa amani. Amen.
Hakuna cha hatari numbi , wanywa soda wana wivu tuHatari sana
Kuna maji
Nazi??
Kwa sasa pombe salama ni bia tuNusu saa iliyopita tumempoteza Mr Richard, ndugu wa karibu kabisa.
Wakati namshauri miaka hiyo mjomba kupunguza mambo, yetu yanauWa, ilikuwa ngumu sana kuelewa.
Baada ya miaka kadhaa, ndugu alianza kuumwa, baadaye wakakuta figo inashida.
Ilipofikia, haikuwa habari njema kwa familia.
Hatimaye amenda, amelala mchana huu.
Ushauri:
Hatukatai kunywa. Kunywenyi kwa furaha, sio kulewa mpaka upate magonjwa.
Pumzika kwa amani, br. Raha ya milele akupee, ee bwana. Mwanga wa milele umwangazie.
Upumzike kwa amani. Amen.
Pale unapokuwa ukitetea uhai kitandani, yale maumivu hayaelezeki.Sema kuna saa ukiwaza sanaa...
Hivi mtu ukisema uishi maisha kwa kuogopa kufanya vitu vyote ambavyo vinaweza kukusababishia kifo, utaishi maisha ya aina gani?
Manake nimegundua karibu kila kitu hapa duniani kinatafuta upenyo kituue..!
Utafika mahali hata gari utaogopa kupanda, yani hata kutoka nje ya nyumba yako utaogopa.
Mi naona tuishi tu bana kifo kipo tu ni unkwepekable. 🙁
Maji mimi ni mbuzi?
Bangi nilivuta kama miezi sita ,nikaona stem ya bangi na pombe sitaweza🤣🤣😇Myapewa na mjani kuongeza confidence 😎
Kwa sasa pombe salama ni bia tu
Kwa bahati mbaya hiyo hatua ni lazima binadamu wote tutaipitia hata ufanye nini 🙁Pale unapokuwa ukitetea uhai kitandani, yale maumivu hayaelezeki.