Vijana, Figo zinaua, jilindeni na haya Mapombe…Ushauri tu!

Vijana, Figo zinaua, jilindeni na haya Mapombe…Ushauri tu!

Nusu saa iliyopita tumempoteza Mr Richard, ndugu wa karibu kabisa.

Wakati namshauri miaka hiyo mjomba kupunguza mambo, yetu yanauWa, ilikuwa ngumu sana kuelewa.

Baada ya miaka kadhaa, ndugu alianza kuumwa, baadaye wakakuta figo inashida.

Ilipofikia, haikuwa habari njema kwa familia.

Hatimaye amenda, amelala mchana huu.

Ushauri:

Hatukatai kunywa. Kunywenyi kwa furaha, sio kulewa mpaka upate magonjwa.

Pumzika kwa amani, br. Raha ya milele akupee, ee bwana. Mwanga wa milele umwangazie.

Upumzike kwa amani. Amen.
Kwamba asinge kunywa pombe asingekufa?Deth is a must ni sababu tu ya kuondokea ndio huwa inatafutwa.
 
Sema kuna saa ukiwaza sanaa...

Hivi mtu ukisema uishi maisha kwa kuogopa kufanya vitu vyote ambavyo vinaweza kukusababishia kifo, utaishi maisha ya aina gani?

Manake nimegundua karibu kila kitu hapa duniani kinatafuta upenyo kituue..!

Utafika mahali hata gari utaogopa kupanda, yani hata kutoka nje ya nyumba yako utaogopa.

Mi naona tuishi tu bana kifo kipo tu ni unkwepekable. 🙁
Akili mingi bwashee
 
mbayaa haichagui
Mwenye hela asie na hel a

Dooo ameachaa maghorofa mawili

Na frame kadhaa pale mwenge aliachiwa urithi na baba yakee

nawazaa mirathii miee
Madada mliobakia fursa hioo
 
Back
Top Bottom