Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Pamoja na mapungufu yao. Hawa vijana wa kaskazini kanda za Arusha, Moshi, kilimanjaro n.k ni waaminifu kwenye biashara.
Ukipata Mwanamke kutoka huko ukamkabidhi biashara mfano Duka, Pub, Mghahawa wanajua kupambania biashara kwa bidii. Pia hawana kona kona za leo hivi kesho vile ulilinganisha na hawa wa kutoka Iringa, Mbeya, Dodoma na Mtwara janja janja kwa sana.