Pre GE2025 Vijana hatuna chetu, wazee bado wanaendelea kulamba teuzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

shuka chini

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2024
Posts
842
Reaction score
1,928
Nimekuwa nikifatilia uchaguzi wa chama cha mapinduzi (CCM), Na Mzee Wasira amefanikiwa kupita kuwa makamu mwenyekiti. Sina ubaya na mzee Wasira(80). Ila swali langu kuwa vijana wamekosa nini au wana dhambi gani hadi wasiaminiwe.

Pia soma: Uchaguzi 2025 - Stephen Wassira amrithi Kinana nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania Bara

Kila siku wazee wanawaambia vijana wajiajiri huku wenyewe waking'ang'ania ofisi mfano huyu mzee miaka themanini ila amerudi kuajiriwa na chama.

Sasa vijana wenzangu tukae tukijua adui wa vijana ni wazee hawatulio nao.
 
Rika sio kigezo, uwezo wa ,mtu ndio determinant
 
kijana uteuliwe makamu mwenyekiti wa CCM? Unajua majukumu yake? Siyo kila kitu kulalamika, kazi ziko nyingi acha uvivu
 
Historia inaonesha vijana waliowahi kupewa madaraka makubwa waliharibu kazi
Makonda
Hapi
Sabaya

Acha tu wazee watuongoze, vijana tuna ujinga mwingi acha tuendelee kuvizia mashangazi
 
The Notion kuona kwamba Uongozi ni Kulamba na kuneema ndio mwanzo wa makosa ya Utawala wa sasa ambao ni Maigizo ya Demokrasia (Nguvu ya UMMA) Sababu kama hao viongozi ni watumishi na watu baki ndio mabosi wao kwanini uone mtu kupata uongozi ndio kuulamba badala ya kusema fulani kaukwaa...
 
Vijana ni wezi, Malaya, wajinga, na malimbukeni, mkue kidogo kwanza; Hemu tafakari perfomance za vijana Magu aliowapa nafasi, never matured!
 
Vijana wenyewe ndiyo hawa machawa kama akina Lucas Mwashambwa, CCM itaachaje kujishikilia na vikongwe!?
 

Unaweza kuta huyo Tyson ndiye Lucas mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…