Pre GE2025 Vijana hatuna chetu, wazee bado wanaendelea kulamba teuzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nimekuwa nikifatilia uchaguzi wa chama cha mapinduzi (CCM), Na Mzee Wasira amefanikiwa kupita kuwa makamu mwenyekiti. Sina ubaya na mzee Wasira(80). Ila swali langu kuwa vijana wamekosa nini au wana dhambi gani hadi wasiaminiwe.

Kila siku wazee wanawaambia vijana wajiajiri huku wenyewe waking'ang'ania ofisi mfano huyu mzee miaka themanini ila amerudi kuajiriwa na chama.

Sasa vijana wenzangu tukae tukijua adui wa vijana ni wazee hawatulio nao.
Vijana sometimes hawana hekima 😜
 
Kwa hiyo vijana mulikuwa munataka Umakamo mwenyekiti? Hopeless kabisa

Kwanza vijana wengi wa UVCCM ni mapunga
 
Nimekuwa nikifatilia uchaguzi wa chama cha mapinduzi (CCM), Na Mzee Wasira amefanikiwa kupita kuwa makamu mwenyekiti. Sina ubaya na mzee Wasira(80). Ila swali langu kuwa vijana wamekosa nini au wana dhambi gani hadi wasiaminiwe.

Kila siku wazee wanawaambia vijana wajiajiri huku wenyewe waking'ang'ania ofisi mfano huyu mzee miaka themanini ila amerudi kuajiriwa na chama.

Sasa vijana wenzangu tukae tukijua adui wa vijana ni wazee hawatulio nao.
Bandiko lako lote limekosa uhalali pale ulipoandika "uchaguzi wa chama cha mapinduzi....".

Uchaguzi upi!!??
 
Back
Top Bottom