kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,348
- 7,058
Vijana kibao wamepewa uwaziri nk. Labda hujui kutafakari!!!Nimekuwa nikifatilia uchaguzi wa chama cha mapinduzi (CCM), Na Mzee Wasira amefanikiwa kupita kuwa makamu mwenyekiti. Sina ubaya na mzee Wasira(80). Ila swali langu kuwa vijana wamekosa nini au wana dhambi gani hadi wasiaminiwe.
Kila siku wazee wanawaambia vijana wajiajiri huku wenyewe waking'ang'ania ofisi mfano huyu mzee miaka themanini ila amerudi kuajiriwa na chama.
Sasa vijana wenzangu tukae tukijua adui wa vijana ni wazee hawatulio nao.
Wazee lazima wabaki wachache kama washauri wakuu Tena wasio na tamaa za vijana wasasa