Pre GE2025 Vijana hatuna chetu, wazee bado wanaendelea kulamba teuzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Vijana hamna busara
Hamna adabu

Ova
sabaya alivamiaga hotel aliyofikia nandela moshi, et anataka kuonana naye, anaambiwa kapumzika anajbu mwambieni ni mm namtaka, watu wenye hekima wakamwambia kiongozi unajiharibia, ndo akaondoka kwa aibu
 
Mhuni tu yule

Ova
 
Vijana wasioweza kuandika na kutamka kiswahili!?.. wasiojua majina na jiografia ya mikoa ya nchi yao!?..vijana gani unawqzungumzia
Nani kawafanya wawe hivyo walivyo? Nani alaumiwe kwa umbumbu huo?
 
Nimekuwa nikifatilia uchaguzi wa chama cha mapinduzi (CCM), Na Mzee Wasira amefanikiwa kupita kuwa makamu mwenyekiti. Sina ubaya na mzee Wasira(80). Ila swali langu kuwa vijana wamekosa nini au wana dhambi gani hadi wasiaminiwe.

Kila siku wazee wanawaambia vijana wajiajiri huku wenyewe waking'ang'ania ofisi mfano huyu mzee miaka themanini ila amerudi kuajiriwa na chama.

Sasa vijana wenzangu tukae tukijua adui wa vijana ni wazee hawatulio nao.
Nasindikiza Uzi
 
Attachments

  • img_1_1737214785337.jpg
    img_1_1737214785337.jpg
    32.7 KB · Views: 3
  • Kicheko
Reactions: rr4
Vijana kazi zetu zipo kweny jumuiya ya vijana (uvccm). Vijana wengi Sana wameajiriwa kua Makatibu wa wilaya na mkoa na wanalipwa vizuri tu.

Kuna nafasi zingne inatakiwa apewe mtu ambae Hana tamaa, awe ni mtu ambae amesharidhika hataki Tena madaraka. Stephen wasira ni chaguo sahihi kua makamu mwenyekiti.
 
Nimekuwa nikifatilia uchaguzi wa chama cha mapinduzi (CCM), Na Mzee Wasira amefanikiwa kupita kuwa makamu mwenyekiti. Sina ubaya na mzee Wasira(80). Ila swali langu kuwa vijana wamekosa nini au wana dhambi gani hadi wasiaminiwe.

Kila siku wazee wanawaambia vijana wajiajiri huku wenyewe waking'ang'ania ofisi mfano huyu mzee miaka themanini ila amerudi kuajiriwa na chama.

Sasa vijana wenzangu tukae tukijua adui wa vijana ni wazee hawatulio nao.
 
Nimekuwa nikifatilia uchaguzi wa chama cha mapinduzi (CCM), Na Mzee Wasira amefanikiwa kupita kuwa makamu mwenyekiti. Sina ubaya na mzee Wasira(80). Ila swali langu kuwa vijana wamekosa nini au wana dhambi gani hadi wasiaminiwe.

Kila siku wazee wanawaambia vijana wajiajiri huku wenyewe waking'ang'ania ofisi mfano huyu mzee miaka themanini ila amerudi kuajiriwa na chama.

Sasa vijana wenzangu tukae tukijua adui wa vijana ni wazee hawatulio nao.

Wazee nao wana haki yao kama Watanzania. Serikali yote iejaa vijana. Balaza la Mawaziri lina vijana wengi. Wabunge wengi ni vijana. Wakuu wa mikoa na Wilaya wengi ni vijana. Kwa hilo sidhani kama unawatedea haki CCM na Maza.
 
Nani kawafanya wawe hivyo walivyo? Nani alaumiwe kwa umbumbu huo?
Umbumbu wameutaka wenyewe,nikiangalia vitabu vya shule sioni sababu ya wao kuwa mbumbumbu,vitabu vimeandikwa thelathini,themanini,thamani lakini wao watamka tofauti, atlas zina ramani za tawala za mikoa,lakini wao utawasikia mkoa wa moshi, mkoa wa songea
 
Makongoro ndo anamjua vizuri Wassira utendaji wake 😹
 
Attachments

  • v09044g40000ctdv0vvog65mua7fi7p0.mp4
    10.8 MB
Tunapowalaumu vijana na kuacha kulaumu wazee nao ni uendawazimu tu.

Wazee ndio walipaswa kutengeneza na kurithisha kizazii kipya hizo nyadhifa, kama hao vijana hawapo maana yake tunapaswa kulaumu wazee Kwa kutokuwa na succession plan.

Kama hawa wazee ndio wanaopromote wapiga domo aka machawa, malaya, walevi na wasaka fursa kwa manufaa ya chama chao unafikiri tuna haja gani yakulaumu vijana.

Serious society hauji Tu bahati mbaya Bali inajengwa kupitia mipango madhubuti.
 
Hata King Chaz alisubiri miaka 70 ili amrithi mama yake 😄 🤣
Dunia hii imagine mama mpaka kafa
 
Nimekuwa nikifatilia uchaguzi wa chama cha mapinduzi (CCM), Na Mzee Wasira amefanikiwa kupita kuwa makamu mwenyekiti. Sina ubaya na mzee Wasira(80). Ila swali langu kuwa vijana wamekosa nini au wana dhambi gani hadi wasiaminiwe.

Kila siku wazee wanawaambia vijana wajiajiri huku wenyewe waking'ang'ania ofisi mfano huyu mzee miaka themanini ila amerudi kuajiriwa na chama.

Sasa vijana wenzangu tukae tukijua adui wa vijana ni wazee hawatulio nao.
Vijana ni wa kutumiwa kama daraja la kuwabeba wenye chama, kazi yao ni uchawa pro max basi
 
Vijana wasioweza kuandika na kutamka kiswahili!?.. wasiojua majina na jiografia ya mikoa ya nchi yao!?..vijana gani unawqzungumzia
Machawa kina Lucas
Tlaa tlaaa and company
 
Historia inaonesha vijana waliowahi kupewa madaraka makubwa waliharibu kazi
Makonda
Hapi
Sabaya

Acha tu wazee watuongoze, vijana tuna ujinga mwingi acha tuendelee kuvizia mashangazi
Exactly 💯
Bora wazee
 
Vijana endeleeni kuimba taarabu na pambio za sifa na kujikomba komba kwa watawala ila ofisi watakalia wazee
 
Nimekuwa nikifatilia uchaguzi wa chama cha mapinduzi (CCM), Na Mzee Wasira amefanikiwa kupita kuwa makamu mwenyekiti. Sina ubaya na mzee Wasira(80). Ila swali langu kuwa vijana wamekosa nini au wana dhambi gani hadi wasiaminiwe.

Kila siku wazee wanawaambia vijana wajiajiri huku wenyewe waking'ang'ania ofisi mfano huyu mzee miaka themanini ila amerudi kuajiriwa na chama.

Sasa vijana wenzangu tukae tukijua adui wa vijana ni wazee hawatulio nao.
Vijana kazi wanazo zile za kutumwa kuwadhalilisha na kuwapiga wale wanatukosoa sisi Wazee wa Chama !
Kwani hukumsikia yule Mwenyekiti wa Kagera ??!!! 😳 !
Majukumu ni lazima yagawanywe kwa mujibu wa rika tofauti tofauti 😳🤣😂 !
 
Back
Top Bottom