kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,348
- 7,058
Vijana kibao wamepewa uwaziri nk. Labda hujui kutafakari!!!Nimekuwa nikifatilia uchaguzi wa chama cha mapinduzi (CCM), Na Mzee Wasira amefanikiwa kupita kuwa makamu mwenyekiti. Sina ubaya na mzee Wasira(80). Ila swali langu kuwa vijana wamekosa nini au wana dhambi gani hadi wasiaminiwe.
Kila siku wazee wanawaambia vijana wajiajiri huku wenyewe waking'ang'ania ofisi mfano huyu mzee miaka themanini ila amerudi kuajiriwa na chama.
Sasa vijana wenzangu tukae tukijua adui wa vijana ni wazee hawatulio nao.
Wapisheni vijana na wao watengeneze maisha mkuu.subirini mtazeeka wala hakijaharibika kitu
vijana wache ulevi kwanzaWapisheni vijana na wao watengeneze maisha mkuu.
Ulevi unaleta pato kubwa kwa taifa kiongozi.vijana wache ulevi kwanza
Mie nitashangaa sana kama Polisi watawasaidia CCM washinde uchaguzi mkuuNimekuwa nikifatilia uchaguzi wa chama cha mapinduzi (CCM), Na Mzee Wasira amefanikiwa kupita kuwa makamu mwenyekiti. Sina ubaya na mzee Wasira(80). Ila swali langu kuwa vijana wamekosa nini au wana dhambi gani hadi wasiaminiwe.
Kila siku wazee wanawaambia vijana wajiajiri huku wenyewe waking'ang'ania ofisi mfano huyu mzee miaka themanini ila amerudi kuajiriwa na chama.
Sasa vijana wenzangu tukae tukijua adui wa vijana ni wazee hawatulio nao.
Chukuwachakomapema ni ya kwao na genge lao na watoto wao!Nimekuwa nikifatilia uchaguzi wa chama cha mapinduzi (CCM), Na Mzee Wasira amefanikiwa kupita kuwa makamu mwenyekiti. Sina ubaya na mzee Wasira(80). Ila swali langu kuwa vijana wamekosa nini au wana dhambi gani hadi wasiaminiwe.
Kila siku wazee wanawaambia vijana wajiajiri huku wenyewe waking'ang'ania ofisi mfano huyu mzee miaka themanini ila amerudi kuajiriwa na chama.
Sasa vijana wenzangu tukae tukijua adui wa vijana ni wazee hawatulio nao.
Vijana wengi ni mazezetaNimekuwa nikifatilia uchaguzi wa chama cha mapinduzi (CCM), Na Mzee Wasira amefanikiwa kupita kuwa makamu mwenyekiti. Sina ubaya na mzee Wasira(80). Ila swali langu kuwa vijana wamekosa nini au wana dhambi gani hadi wasiaminiwe.
Kila siku wazee wanawaambia vijana wajiajiri huku wenyewe waking'ang'ania ofisi mfano huyu mzee miaka themanini ila amerudi kuajiriwa na chama.
Sasa vijana wenzangu tukae tukijua adui wa vijana ni wazee hawatulio nao.
Kuwa kwako kijana sio sifa ya Uongozi kama dishi tupuNimekuwa nikifatilia uchaguzi wa chama cha mapinduzi (CCM), Na Mzee Wasira amefanikiwa kupita kuwa makamu mwenyekiti. Sina ubaya na mzee Wasira(80). Ila swali langu kuwa vijana wamekosa nini au wana dhambi gani hadi wasiaminiwe.
Kila siku wazee wanawaambia vijana wajiajiri huku wenyewe waking'ang'ania ofisi mfano huyu mzee miaka themanini ila amerudi kuajiriwa na chama.
Sasa vijana wenzangu tukae tukijua adui wa vijana ni wazee hawatulio nao.
Wazee wamegundua vijana hawana akili.Nimekuwa nikifatilia uchaguzi wa chama cha mapinduzi (CCM), Na Mzee Wasira amefanikiwa kupita kuwa makamu mwenyekiti. Sina ubaya na mzee Wasira(80). Ila swali langu kuwa vijana wamekosa nini au wana dhambi gani hadi wasiaminiwe.
Kila siku wazee wanawaambia vijana wajiajiri huku wenyewe waking'ang'ania ofisi mfano huyu mzee miaka themanini ila amerudi kuajiriwa na chama.
Sasa vijana wenzangu tukae tukijua adui wa vijana ni wazee hawatulio nao.
CCM ni chama cha hao wazee, watoto, ndugu zao na marafiki. Vijana ambao hamna Godfather hamna chenu.Nimekuwa nikifatilia uchaguzi wa chama cha mapinduzi (CCM), Na Mzee Wasira amefanikiwa kupita kuwa makamu mwenyekiti. Sina ubaya na mzee Wasira(80). Ila swali langu kuwa vijana wamekosa nini au wana dhambi gani hadi wasiaminiwe.
Kila siku wazee wanawaambia vijana wajiajiri huku wenyewe waking'ang'ania ofisi mfano huyu mzee miaka themanini ila amerudi kuajiriwa na chama.
Sasa vijana wenzangu tukae tukijua adui wa vijana ni wazee hawatulio nao.
Kizaz hiko kimezalishwa na nan?Vijana wasioweza kuandika na kutamka kiswahili!?.. wasiojua majina na jiografia ya mikoa ya nchi yao!?..vijana gani unawqzungumzia
Mtu aliyezaliwa mwaka 1945, aongoze kijana aliyezaliwa mwaka 2000? Wapi na wapi? Hata Twitter (X) hajui ni ni. Huu muda wa AI mnaleta wazee wa mwaka 45!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Vijana wengi ni mazezeta
Twitter ndio inaleta Ugali mezani?Mtu aliyezaliwa mwaka 1945, aongoze kijana aliyezaliwa mwaka 2000? Wapi na wapi? Hata Twitter (X) hajui ni ni. Huu muda wa AI mnaleta wazee wa mwaka 45!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kizazi hicho na si hiko,kengeKizaz hiko kimezalishwa na nan?
95%Kwani wote wapo hivyo?
Kwani vijana si wamempigia kura kwa wingi. Amepata 99+ mbona vijana hawakumkataa. Adui wa vijana ni vijana wenyeweNimekuwa nikifatilia uchaguzi wa chama cha mapinduzi (CCM), Na Mzee Wasira amefanikiwa kupita kuwa makamu mwenyekiti. Sina ubaya na mzee Wasira(80). Ila swali langu kuwa vijana wamekosa nini au wana dhambi gani hadi wasiaminiwe.
Kila siku wazee wanawaambia vijana wajiajiri huku wenyewe waking'ang'ania ofisi mfano huyu mzee miaka themanini ila amerudi kuajiriwa na chama.
Sasa vijana wenzangu tukae tukijua adui wa vijana ni wazee hawatulio nao.
Excuse ya uongo, wapo vijana waliopewa hizo nafasi hawakuharibu, wapo pia vijana wenye nafasi hata sasa wapo vizuriHistoria inaonesha vijana waliowahi kupewa madaraka makubwa waliharibu kazi
Makonda
Hapi
Sabaya
Acha tu wazee watuongoze, vijana tuna ujinga mwingi acha tuendelee kuvizia mashangazi