Uchaguzi 2020 Vijana hawana cha kupoteza kwa Dkt. John Pombe Magufuli

Miaka mitano graduate hawajapewa ajira halafu unataka wachekelee kubeba zege kwenye vibarua vya miradi !
 
Hakuna kura ya ndiyo kwa mgombea yeyote. Iliondolewa mwaka 1992. Jielimishe hilo ili upige kura kwa unayemtaka
Hahahaha najua umeelewa nini nilichomaanisha, sema unataka kuleta technical issues. Kura ni ndio tu kwa Magufuli Tanzania nzima.
 
Atajipigia yeye mwenyewe, zile risasi alizopigwa ungepigwa wewe saivi ungekuwa six feet under.
Wewe unajuaje kama ni risasi za shaba au mpira alizopigwa? Halafu kupigwa risasi sio sera ya kutafutia kura.
 
Wewe unajuaje kama ni risasi za shaba au mpira alizopigwa? Halafu kupigwa risasi sio sera ya kutafutia kura.
Zile risasi zitafanya ajipigie kura yeye mwenyewe, ccm wengi wangepigwa zile risasi wangededi maana jamaa ni wadhaifu sana, maisha yao kutegemea polisi
 
Wewe endelea kuimba taarabu na kurukaruka kama mahindi ya bisi yakiwa yanaiva, ila kaa utambue kura zote atapewa Magufuli.
Mmejipanga kuiba nikupe siri kati yenu wameshavujisha kila kitu...NEC na ZEC wako uchi wa mnyama..kama umemsikia Lissu jana Tabora alisema utaongezwa kwenye orodha ya The Hague ..kumbe list ipo...
 
Wakati serikali ina hamasisha watu waende kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi mkuu, Chadema walikua wakihamasisha watu wasiende kujiandikisha mbaka ipatikane katiba Mpya, Chakushangaza baada ya matokeo ya uchaguzi watadai wameibiwa kura.
 
Mmejipanga kuiba nikupe siri kati yenu wameshavujisha kila kitu...NEC na ZEC wako uchi wa mnyama..kama umemsikia Lissu jana Tabora alisema utaongezwa kwenye orodha ya The Hague ..kumbe list ipo...
Yani wewe kweli punguwani hata kupangilia hoja huwezi, halafu mnategemea muiongoze Tanzania mtasubiri sana yani. Chaguo sahihi ni Magufuli tu.
 
Vijana wa Bavicha labda ila hawa vijana wazalendo wa Tanzania watampigia kura JPM.

October 28th kura zote ni kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Sasa upinzani na mataahira ya Lumumba wapi kuliko na vijana wengi?
 
Muongo mkubwa pia mjinga wewe, uneandika pumba tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…