Alwatan Mabruki
Senior Member
- Sep 20, 2020
- 132
- 116
Unaomba poo ha ha. huna sera MzeeHahaha Magufuli ndiye anamlilia Gwajima, sijui anataka nini.
Mshana Jr tuwekee video huku waone Magufuli akimlilia Gwajima.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaomba poo ha ha. huna sera MzeeHahaha Magufuli ndiye anamlilia Gwajima, sijui anataka nini.
Mshana Jr tuwekee video huku waone Magufuli akimlilia Gwajima.
Hahaha nakuletea ushahidi Mzee mwenzangu akilia.Unaomba poo ha ha. huna sera Mzee
Inakuja usijali, utakesha unaaangalia.Sisi tunataka uliyosema.
Sera ndio nini?! Huwa nasikia tu neno sera sera sera, sijawahi kuelewa sera ni kitu gani.Unaomba poo ha ha. huna sera Mzee
CDM haina serikali wala haikusanyi kodi,wewe ni pisi kali kwani?Kwa nn CDM hamkuwaajiri?
Yani wewe unaonekana kabisa ni malaya wa kisiasa kabisa mbayuwayu wewe,hivi unaelewa upuuzi anaoleta LISSU wenu huyo sijuii ndio TUNDU,na kweli ni Tundu kaMA Tundu.
ILA nakuamba utapata aibuu sana mara baada ya huyo mbuzi wenu kushindwa,,
KURA YANGU KWA MAGUFULI.
Vijana wakitanzania tuna imani na JPM.tutampa kura za ndio na tutahakikisha akutakuwa na uvunjifu wa amani. ulinzi wa amani yetu ni jukumu la kila raia hasa vijana.
Hatutaki dikteta yoyote nchi hii.Vijana ni kundi kubwa, muhimu na linaloongoza kwa uwingi wa idadi kubwa ya watu hapa Tanzania na kwasasa inaarifiwa zaidi ya asilimia 65 ya Watanzania wote ni vijana. Vijana ni kundi kubwa lenye watu wengi na lenye msingi mkubwa sana wa uchumi na maendeleo.
Ukimkomboa kijana, umelikomboa Taifa. Ukimuwezesha kijana umeliwezesha Taifa yaani kwa kifupi chochote chanya utakachofanya kwa kijana umekifanya kwa Taifa na unakuwa umelikomboa Taifa. Miaka mitano ya Rais Magufuli imeshuhudia kazi kubwa sana ya kulikomboa Taifa kupitia kuliwezesha kundi hili la vijana ili kwa uwingi wake mkubwa ndani ya nchi liendelee kuwa msingi wa uchumi na maendeleo ya Tanzania.
Ili kuliwezesha na kulikomboa kundi la vijana kwa minajiri ya kuweza kuchangia pakubwa kwenye maendeleo ya Taifa, Serikali ya Rais Magufuli iliweka sheria ya kuzitaka halmashauri zote nchini kutenga asilimia 4 kati ya 10 ya mapato yake ya ndani ya Serikali kwa ajili ya kwenda kwenye makundi ya vijana. Kutoa mikopo hii ya halmashauri isiyo na riba kwa makundi ya vijana ili kuanzisha biashara na kujiendeleza ni msingi wa kuwakomboa vijana na mpaka hapa tunapoongea jumla ya bilioni 28.2 zimeenda kwa vijana kutoka bilioni 2.3 pekee zilizopelekwa mwaka 2015.
Zaidi Serikali imeendelea kuweka mazingira mazuri ya vikundi mbalimbali vya vijana kupata mikopo kwenye mabenki yetu na taasisi za fedha kwa riba na masharti nafuu sana ambayo hayamkandamizi wala kumuumiza kijana na kumfanya asiendeleze biashara yake vizuri tofauti kabisa na ilivyokuwepo huko nyuma.
Lakini uamuzi wa kutoa vitambulisho vya mjasiriamali kwa elfu 20 tu ni ukombozi mwingine kwa vijana kwa sababu asilimia kubwa ya wajasiriamali hawa ni vijana. Hapo unazungumza kijana kutoka kufukuzwa, kubughudhiwa na kutozwa makodi kila siku mpaka kulipa elfu 20 tu na kuendesha biashara zake kwa mwaka mzima popote Tanzania.
Zamani mjasiriamali alikuwa na msululu wa makodi na kwa mwaka mmoja mjasiriamali alikuwa analipa laki 3 mpaka laki 5 na alikuwa anapata bughudha na kuonewa sana kwenye biashara yake, leo hakuna tena mambo hayo. Kitambulisho cha elfu 20 tu kinatosha kwa kijana kufanya shughuli zake kila mahali nchi nzima bila shida na bughudha yoyote kutoka kwa mtu yeyote ile.
Hapo hujaweka uamuzi wa Serikali kutoa mafunzo ya ujuzi katika stadi za kazi ambapo vijana 7,800 wa kada mbalimbali walipata mafunzo ikiwemo na wengine 52,353 waliopatiwa mafunzo mahali pa kazi na vijana 8,980 waliopatiwa mafunzo ya kilimo huku Serikali ikitengeneza ajira 6,032,299 katika sekta rasmi na zisizo rasmi ambazo nyingi ziliwagusa vijana.
Katika kuendelea kuliamsha na kulijumuisha kundi la vijana kwenye uchumi, Serikali ilitekeleza miradi mikubwa minne ya kimkakati ambayo iliwagusa vijana moja kwa moja kupata fursa za ajira na kutengeneza uchumi wao.
Hapa tunazungumzia mradi wa reli ya kisasa (Standard Gauge) ambao pekee yake ulitoa jumla ya ajira 14,139 kwa vijana, mradi wa upanuzi wa uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (Terminal III) ambao ulitoa ajira 1,056, mradi wa Bwawa la kufua umeme wa Julius Nyerere ambao ulitoa ajira 3,412 pamoja na mradi wa Ubungo Interchange ambao nao ulitoa ajira 502 kwa vijana. Vijana hawa hawana cha kupoteza na hawa wana jambo lao la shukrani mapema kabisa siku ya Jumatano Oktoba 28.
Yani mimi kama kijana naisubiri sana hiyo tarehe 28 october tukawaonyeshe watanzania jinsi magufuli tunavyompenda vijana ...Yani kura zote kwa Dk John Magufuli....huyu mzee jamani katufanyia maendeleo mengi anaebisha kuna nati za kichwa zimechomoka
Ukiona hivyo wewe ni kijana usiyejitambua, lakini vijana tunaojitambua kura zetu tutampigia Magufuli
Vijana tuna jambo moja tu tarehe 28/10/2020 Ni kupiga kura ya NDIO kwa ndugu Magufuli.
Hujalelewa vizuri wewe
Id hii ni ya mwezi huu wa kumi, nayo iko huku jukwaani kwa ajili ya uchaguzi. Hii ni moja ya id zilizoanzishwa na ccm kwa ajili ya uchaguzi huu.Kwa nn CDM hamkuwaajiri?
Kijana Mimi nilikuwa nimelala usingizi,nikapitwa na guess zote hizo,hivo Nina Jambo langu kesho kutwa Oct.28.Vijana ni kundi kubwa, muhimu na linaloongoza kwa uwingi wa idadi kubwa ya watu hapa Tanzania na kwasasa inaarifiwa zaidi ya asilimia 65 ya Watanzania wote ni vijana. Vijana ni kundi kubwa lenye watu wengi na lenye msingi mkubwa sana wa uchumi na maendeleo.
Ukimkomboa kijana, umelikomboa Taifa. Ukimuwezesha kijana umeliwezesha Taifa yaani kwa kifupi chochote chanya utakachofanya kwa kijana umekifanya kwa Taifa na unakuwa umelikomboa Taifa. Miaka mitano ya Rais Magufuli imeshuhudia kazi kubwa sana ya kulikomboa Taifa kupitia kuliwezesha kundi hili la vijana ili kwa uwingi wake mkubwa ndani ya nchi liendelee kuwa msingi wa uchumi na maendeleo ya Tanzania.
Ili kuliwezesha na kulikomboa kundi la vijana kwa minajiri ya kuweza kuchangia pakubwa kwenye maendeleo ya Taifa, Serikali ya Rais Magufuli iliweka sheria ya kuzitaka halmashauri zote nchini kutenga asilimia 4 kati ya 10 ya mapato yake ya ndani ya Serikali kwa ajili ya kwenda kwenye makundi ya vijana. Kutoa mikopo hii ya halmashauri isiyo na riba kwa makundi ya vijana ili kuanzisha biashara na kujiendeleza ni msingi wa kuwakomboa vijana na mpaka hapa tunapoongea jumla ya bilioni 28.2 zimeenda kwa vijana kutoka bilioni 2.3 pekee zilizopelekwa mwaka 2015.
Zaidi Serikali imeendelea kuweka mazingira mazuri ya vikundi mbalimbali vya vijana kupata mikopo kwenye mabenki yetu na taasisi za fedha kwa riba na masharti nafuu sana ambayo hayamkandamizi wala kumuumiza kijana na kumfanya asiendeleze biashara yake vizuri tofauti kabisa na ilivyokuwepo huko nyuma.
Lakini uamuzi wa kutoa vitambulisho vya mjasiriamali kwa elfu 20 tu ni ukombozi mwingine kwa vijana kwa sababu asilimia kubwa ya wajasiriamali hawa ni vijana. Hapo unazungumza kijana kutoka kufukuzwa, kubughudhiwa na kutozwa makodi kila siku mpaka kulipa elfu 20 tu na kuendesha biashara zake kwa mwaka mzima popote Tanzania.
Zamani mjasiriamali alikuwa na msululu wa makodi na kwa mwaka mmoja mjasiriamali alikuwa analipa laki 3 mpaka laki 5 na alikuwa anapata bughudha na kuonewa sana kwenye biashara yake, leo hakuna tena mambo hayo. Kitambulisho cha elfu 20 tu kinatosha kwa kijana kufanya shughuli zake kila mahali nchi nzima bila shida na bughudha yoyote kutoka kwa mtu yeyote ile.
Hapo hujaweka uamuzi wa Serikali kutoa mafunzo ya ujuzi katika stadi za kazi ambapo vijana 7,800 wa kada mbalimbali walipata mafunzo ikiwemo na wengine 52,353 waliopatiwa mafunzo mahali pa kazi na vijana 8,980 waliopatiwa mafunzo ya kilimo huku Serikali ikitengeneza ajira 6,032,299 katika sekta rasmi na zisizo rasmi ambazo nyingi ziliwagusa vijana.
Katika kuendelea kuliamsha na kulijumuisha kundi la vijana kwenye uchumi, Serikali ilitekeleza miradi mikubwa minne ya kimkakati ambayo iliwagusa vijana moja kwa moja kupata fursa za ajira na kutengeneza uchumi wao.
Hapa tunazungumzia mradi wa reli ya kisasa (Standard Gauge) ambao pekee yake ulitoa jumla ya ajira 14,139 kwa vijana, mradi wa upanuzi wa uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (Terminal III) ambao ulitoa ajira 1,056, mradi wa Bwawa la kufua umeme wa Julius Nyerere ambao ulitoa ajira 3,412 pamoja na mradi wa Ubungo Interchange ambao nao ulitoa ajira 502 kwa vijana. Vijana hawa hawana cha kupoteza na hawa wana jambo lao la shukrani mapema kabisa siku ya Jumatano Oktoba 28.
Mlikaa kikao wapi cha kukubaliana hayo weka minute za kikao hapa
Wewe wa mwezi january vipi wewe ndo unaimiliki Tanzania au unaimiliki JF? Tupashe habari hapa.Id za mwezi septemba kazini.
Utakuwa mgeni sana - tafuta zingine Msakila Kabende, Mkafrend utagundua kwamba kabla hujamaliza sekondari nilikuwa humuId hii ni ya mwezi huu wa kumi, nayo iko huku jukwaani kwa ajili ya uchaguzi. Hii ni moja ya id zilizoanzishwa na ccm kwa ajili ya uchaguzi huu.