Uchaguzi 2020 Vijana hawana cha kupoteza kwa Dkt. John Pombe Magufuli

Uchaguzi 2020 Vijana hawana cha kupoteza kwa Dkt. John Pombe Magufuli

Rais Magufuli ni MNYENYEKEVU Katika Kuomba kura, sio hilo tu pia Sifa nyingine nzuri aliyonayo JPM ni kupanga mipango vizuri, tena inayotekelezeka. KURA YANGU KWA MAGUFULI ✅
Hahaha unyenyekevu kautoa wapi?! Au nikuwekee video kuthibisha uongo wa maandishi yako.

Hahaha we are not REACHABLE.
 
Mimi ninayo sababu,
NDUGU yangu umejuaje? maana hakuna zaidi ya MAGUFULI
Kitu kinachonivutia kwa RAIS MAGUFULI ni Kati ya mambo ambayo yamemtofautisha JPM na viongozi wengi duniani, ni uwezo wake wa kufanya maamuzi vizuri bila kufuata iliyo kwaida au kufuata mkumbo wa kuangalia wengine wanafanyaje, au kujali uhusiano wake binafsi wa kirafiki na mtu mmoja mmoja
 
Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
 
Yani wewe unaonekana kabisa ni malaya wa kisiasa kabisa mbayuwayu wewe,hivi unaelewa upuuzi anaoleta LISSU wenu huyo sijuii ndio TUNDU,na kweli ni Tundu kaMA Tundu.

ILA nakuamba utapata aibuu sana mara baada ya huyo mbuzi wenu kushindwa,,

KURA YANGU KWA MAGUFULI.
Hahaha Kura zote kwa Tundu Lisu.
Magufuli is PURICHINGI but we are not REACHABLE.
In M7 voice.
 
Mimi ninayo sababu,

Kitu kinachonivutia kwa RAIS MAGUFULI ni Kati ya mambo ambayo yamemtofautisha JPM na viongozi wengi duniani, ni uwezo wake wa kufanya maamuzi vizuri bila kufuata iliyo kwaida au kufuata mkumbo wa kuangalia wengine wanafanyaje, au kujali uhusiano wake binafsi wa kirafiki na mtu mmoja mmoja
Kweli ndugu yangu kumbe we una macho na umejionea mwenyewe,hawa wasioelewa achana nao
 
SASa wewe huyo punda wako amefanya nini cha maana kwa wananchi hawa?
Hahaha na huyo Ng'ombe wako kafanya nini?!

Hahaha munipeleke kwa Gwajima, munipelekeeeee kwa Gwajima, minipelekeeeeeeeni kwa Gwajima.

Tutampeleka kwa Gwajiboy, Kura kwa Lisu.
 
KURA YANGU KWA RAIS MAGUFULI ✅

KURA YANGU KWA RAIS MAGUFULI ✅KURA YANGU KWA RAIS MAGUFULI ✅KURA YANGU KWA RAIS MAGUFULI ✅
KURA YANGU KWA RAIS MAGUFULI ✅
KURA YANGU KWA RAIS MAGUFULI ✅KURA YANGU KWA RAIS MAGUFULI ✅

Back
Top Bottom