Vijana ili uhesabiwe mwanaume ni lazima uoe

Vijana ili uhesabiwe mwanaume ni lazima uoe

Vizuri mkuu, hongera kuwa na mafanikio.Ila mi sizungumzii mafanikio ya mtu mmoja mmoja kama ulivyojitolea mfano.Fanya kautafiti kidogo tu maofisini na mitaani kati ya waliooa na wasiooa nani ameendelea utapata majibu.Halafu utambue UPENDO ndio kila kitu na upendo huanzia katika familia
HEBU fikiria unatoka kazini unarudi nyumbani pako kimya haupokelewi wala kukaribishwa unadhani utakuwa na tofauti gani na NG'OMBE anayetoka MACHUNGANI ANAREJEA ZIZINI?
 
Back
Top Bottom