Vijana ili uhesabiwe mwanaume ni lazima uoe

Vijana ili uhesabiwe mwanaume ni lazima uoe

Wenyewe huwa wana kamsemo kao "Ng'ombe wa nini wakati nina maziwa" au kama wanavyosema wenyewe.

Ila siwafichi miongoni mwa vipimo vya awali kabisa vya mtu kuwa na akili timamu aisee ni KUOA. kisha kuanzia hapo vinafata vipimo vingine vya Akili.
Umeongea kifupi na kwa ufasaha,safi sana mkuu
wataelewa tu mkuu
 
Mfano wako uko biased upo biased ,so nimekwambia compare makundi mawili kwa wenye same level /potential /cohort....Let's say with the same age+education etc etc na u difine hayo maendeleo ni yapi yaan tutatumia variable gani kupima maendelo,ili tufanye analysis at a time flani let's say 5 years kujua kama kuoa kunachelewesha au kuwahisha maendeleo
Mkuu ukae ukijua tuliooa ndiyo tunaowaamulieni mambo mengi katika jamii na ndio tunauongoza ulimwengu
 
Upo sahihi, Kulazimishwa Kuoa au kuolewa sio lazima mpaka uwe umepewa vitisho au Zile ndoa za mikeka, hapana.. Jamii inamchukulia mtu ambae umri umesogea kiasi,Mwenye Maisha ya Kati ama ya kawaida, ambae hajaoa au kuolewa Kama mtu flani hivi ambae huenda ana mapungufu au kuna Jambo halikosawa na kusahau kuwa kiuhalisia hakuna namna moja sahihi ya kuishi hapa Duniani.
Sio lazima Ndoa.. naamini kujizuia inawezekana na Kuna Mambo Mengine mengi mazuri ya kufanya hata zaidi ya Hilo linalohusu ndoa .. Kama ukiwa umepata Hisia za mapenzi juu ya mtu na ukaona Ni vyema ukimuoa ili umuweke karibu sawa!!
Ila Kama hujapata au umeona single ndo mpango then just dont think about it, be it!
Kutaman wake au waume wa watu na Tabia zingine zinazohusiana na Ngono inategemea Kati ya mtu na mtu, hata walioko kwenye ndoa wengine sio waamanifu.. Na sio kila mwanaume anawadharau hao unaowaita SINGLE Mother's, Kila mtu akiishi Kama unavyoona kwake ni sawa mradi haimdhuru mtu mwingine Basi Maamuzi yake yaheshimiwe!!
Mwanaume bora huunda familia bora,familia bora huzaa jamii bora,jamii bora hujenga taifa imara
OA tu kijana usitafute visingizio hapa
 
Hapa nawaongelea hawa vijana wenye majina ya kiume kama John, Rashid nk.

Kumekuwa na kundi kubwa la vijana tena linaongezeka siku hadi siku ambalo halitaki kuoa.Ukiwauliza watakuambia bado wanajipanga,sijui wanatafuta pesa,mara ooh mabinti wa siku hizi sio kabisa na majibu mengine kemkem

Lakini haohao ndio utasikia wanazengea shemeji zao(wake zetu tuliooa)kama sio mama zao.Mtu akija humu na uzi kala jimama/mke wa mtu basi ujue tayari washatuibia wake zetu

Na ndio hawa hawa wanaharibu binti zetu kisha kuwaita 'single mother'
Kujihalishia ujinga wao wamejipa jina baharia,
Kutokana na ujinga wa kutotaka kuoa ndio maana
~mnajikuta mnavaa suruali za dada zenu.
-mnajichubua
-vyumbani kwenu kuna dressing table zilizotapakaa poda lotion,injofesi na mazagazaga ya dada zenu
-mnavua nguo zote mnapopaka mafuta na mnapaka mwili mzima ulisikia wapi
-meseji zenu kwenye simu ni kama hao dada zenu zimejaa 'x' na 'c'
-mnasababisha vijana wa jinsia tofauti waongezeke kujiuza au kututaka sisi kaka zenu ili watuvunjie ndoa zetu
-nyinyi wenye kuwa mashoga au kuolewa mimama iliyoshindikana na kupelekea kupewa nuksi au maradhi

OMBI:Kuepukana na hayo muoe kwani ili uwe mwanaume halisi ni lazima uoe,na utakuwa bora zaidi huyo utakayemuoa uzeeke naye pamoja na shurba zote atakazokupa

-Oa ili utengeneze msingi bora wa familia na taifa
-Usimsikilize yeyete atakayekuambia ndoa ngumu sijui nini,huyo hataki wewe uje ufaidi tunayofaidi sisi huku

JIULIZE: Kwa nini baadhi ya vyeo ni mpaka uwe umeoa? ukipata jibu na ndio lengo la uzi wangu
[emoji3516]
CHAGUA CHAUMMA ILI UPATE MLO WENYE LISHE BORA KWA AFYA YA MWILI NA AKILI!!!

KAMWE USIFANYE MAKOSA MWAKA HUU MWEZI WA KUMI!!!
 
Siai wengine malengo yetu ni kupata watoto wengi wakiwa na nasaba kamili, ndiyo maana tulioa mapema.

Wangapi hawana wake na hawajafikia malengo ? Hivi mnayafasiri vipi haya maisha ? Na wangapi tumeoa tumeshayafikia malengo yetu ?
Yaani kaka hii dozi unayowapatia! watapona tu.Mpaka hapa dawa imeshaanza kufanya kazi
 
Hapana mkuu,angalia majukumu ya mwanamke.
-akupikie
akufulie
ahakikishe mazingira yapo safi
mnafurahia sex wote lakini mimba anahangaika naye yeye
Hapohapo mnasaidiana kuongeza kipato
Kipindi upo sehemu na marafiki(bar)ye yupo anatunza watoto

Uzuri mwanamke akibaini kwamba we si mwanaume,kwamba huwezi kutengeneza familia ndio anakufanyia kama huyo ulomtolea mfano
HAPA dawa ni kuoa tu.
Maisha ni mipango Mkuu kila la kheri.
 
Mwanaume bora huunda familia bora,familia bora huzaa jamii bora,jamii bora hujenga taifa imara
OA tu kijana usitafute visingizio hapa

Mwanaume Bora Ni yule anaefanya michongo yake Halali bila kupangiwa na mtu, mfumo ama Jamii inayomzunguka.. Kuoa oa sio sifa Mkuu we Kama umekutana na wa type yako fresh.. Ila Kama umekutana na kimeo usiwadumbukize na wenzio.. Kama inakuuma Sana Mimi kutokuoa njoo tu Nikuoe wewe ili Nafsi yako itulie.

Acheni kuwapa presha wenzenu kwa mambo yasiokua na msingi, taifa Bora linatengenezwa kwa watu kujituma na kuwa wabunifu kutatua changamoto zinawazunguka, sio kukalia Mambo yasiyokua na msingii kiiivo!
Acha kuwaza Ngono tu masaa yote.. unafeli!
 
Daaah! ila bado unarukaruka mulemule tu mkuu,taifa lenye kujituma linatokana na jamii iliyoandaliwa vizuri ambayo ni zao la familia zilizoandaliwa vizuri.
Familia ikiandaliwa vizuri hutapata wezi,wavivu na wajinga.Bali utapata wasomi na wachapakazi na ndipo taifa hujengeka
Chanzo nini? jibu ni baba bora (mwanaume halisi)
HAPA hakuna kisingizio OA ili uwe mwanamume
 
Mwanaume Bora Ni yule anaefanya michongo yake Halali bila kupangiwa na mtu, mfumo ama Jamii inayomzunguka.. Kuoa oa sio sifa Mkuu we Kama umekutana na wa type yako fresh.. Ila Kama umekutana na kimeo usiwadumbukize na wenzio.. Kama inakuuma Sana Mimi kutokuoa njoo tu Nikuoe wewe ili Nafsi yako itulie.

Acheni kuwapa presha wenzenu kwa mambo yasiokua na msingi, taifa Bora linatengenezwa kwa watu kujituma na kuwa wabunifu kutatua changamoto zinawazunguka, sio kukalia Mambo yasiyokua na msingii kiiivo!
Acha kuwaza Ngono tu masaa yote.. unafeli!
Halafu utambue hakuna mchongo wa halali utakaofanya ambao hutapangiwa na jamii iliyokuzunguka
Na kama ishu ni michongo hata ukioa michongo itaendelea tena katika ubora na ufanisi
USIOGOPE mkuu karibu kiumeni
 
Mfano wako uko biased upo biased ,so nimekwambia compare makundi mawili kwa wenye same level /potential /cohort....Let's say with the same age+education etc etc na u difine hayo maendeleo ni yapi yaan tutatumia variable gani kupima maendelo,ili tufanye analysis at a time flani let's say 5 years kujua kama kuoa kunachelewesha au kuwahisha maendeleo
Kumbe hukuelewa nilichokiandika. Jaribu kusoma tena kwa umakini, utaelewa.
 
Mkuu yaani kama ni maharage sasa ndio yanapasuka karibia yanaiva na utaiva tu
Unadhani mwanamke hawezi kufanya kitu anachoona kinafaa bila kukwaza wengine?utatofautiana naye vipi?
HEBU watazame jogoo au ng'ombe,utatofautiana nao vipi kama we huoi na kutengeneza familia
AU we unadhani Gadafi alikuwa mjinga kusapoti vijana kuoa
AU viongozi wa dini unadhani wamerukwa na akili kuhimiza vijana kuoa
Brother tuliza akili(najua unazo kutokana na jinsi unajibu) ila tu umepotoshwa na kutishiwa kuhusu kuoa
Na ndipo unapopoteza sifa ya uanaume kwa unapotosheka na kutishika kirahisi
OA tu kijana hofu,presha zitakwisha

Nakuelewa Mkuu, sema haujawa tayari kuelewa point yangu iko hivi.. kuoa ama kuolewa sio lazima.. Ni uamuzi tu Kama mtu huna sababu ya kukuingiza kwenye ndoa sio lazima uingie.. na hata usipoingia thamani yako Kama Mwanaume ama mwanamke haipungui hata kidogo.. acha kuwahadaa Vijana Tena hasa wa kiume, acha watu wale maisha.. we oa utengeneze familia Bora then waache na wengine wafanye ya kwao.. life is simple na narudia Tena Hakuna mfumo mmoja wa Maisha..
 
Nilishajibu swali hili,tunafaidi upendo wa dhati kutoka kwa mke na watoto,tunaheshimika katika jamii na kwa kiasi kikubwa sisi ndio tunatoa maamuzi katika jamii kupitia vikao mbalimbali vya mitaa, mashuleni etc
Na kwa kiasi kikubwa sisi ndio wenye maendeleo.Sisi ndio wamiliki wa magari,biashara kubwa,
Sisi ndio wenye vyeo makazi
Lakini sisi ndio mababa wenye nyumba na magesti ambayo tunawapangishieni na ndio mnatumia kujaziana mimba bila mpangilio
HAPANA siwezi kuvumilia OENI TU
nina vyotehivyo na sijao, tena naeza nikawa nimekupita kwa mafanikio hivi tukiweka kwa USD una networth ya ngapi?maaana
Nilishajibu swali hili,tunafaidi upendo wa dhati kutoka kwa mke na watoto,tunaheshimika katika jamii na kwa kiasi kikubwa sisi ndio tunatoa maamuzi katika jamii kupitia vikao mbalimbali vya mitaa, mashuleni etc
Na kwa kiasi kikubwa sisi ndio wenye maendeleo.Sisi ndio wamiliki wa magari,biashara kubwa,
Sisi ndio wenye vyeo makazi
Lakini sisi ndio mababa wenye nyumba na magesti ambayo tunawapangishieni na ndio mnatumia kujaziana mimba bila mpangilio
HAPANA siwezi kuvumilia OENI TU
kikubwa nilichoona hapo wewe ni muongo kwanza umeongelea vikao vya mitaa kwa hapo tu nimejua level yako haufai kuwekwa kwenye wenye mafanikio, pili umenitajia liabilities nyingi ambazo hazina faida yeyote kwa wenye mafanikio .

Mwisho kabisa nikuulize tukiweka kwa USD una networth kiasi gani?

And sihitaji kuitwa kwenye vikao vya mtaa kwa kuwa siishi mchanganyikeni unapoishi wewe my estate is well issolated , somewhere with fresh air and all those good things you wish you had.

Note that.
Nina karibia vyote ulivyotaja hapo ambavyo sina ni mke na watoto kwa sasa ila mafanikio ninayo makubwa tu zaidi yako.

N.b
Am on my late 20's.
 
Back
Top Bottom